Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Yaani nimesoma haya maandiko yako hadi nimeona aibu kabisa.....

Yaani watu wanakuwa na madhehebu halafu wewe unaona tatizo liko kwenye maandiko ya imani husika na sio watu ....

Hivi tuna akili ya namna gani?

Daaahh.....!!
 
Yaani nimesoma haya maandiko yako hadi nimeona aibu kabisa.....

Yaani watu wanakuwa na madhehebu halafu wewe unaona tatizo liko kwenye maandiko ya imani husika na sio watu ....

Hivi tuna akili ya namna gani?

Daaahh.....!!

Ndio, tatizo ni maandiko ya vitabu (wanasema vitakatifu), hayapo straight forward, kitu kinachosababisha migawanyiko (madhehebu). kama maandiko yangekuwa consistent (of which ingethibitisha utakatifu na ukweli wake) leo hii tusingekuwa na madhehebu kede wa kede ambayo yote hayo yamejenga misingi yao kaika kitabu kimoja (bible kwa wakristo na quran kwa waislamu), Of which brings to my doubt ya ukweli wa hizi imani ambazo misingi yake imejengwa juu ya vitabu hivyo (vinaitwa vitakatifu)
 


mkuu usikatishwe tamaa katika kuutafuta ukweli, watu inabidi watambue kwamba lengo letu si kupotosha, lengo letu ni kutafuta kipande cha mwisho cha ukweli kilichojificha, ukiona mtu anakuja na matusi na kejeli ujue ni jiwe tu la gizani limempata, ila akikaa tene akafikiri atakuja pata mwanga kidogo wenye mwendelezo mrefu, hata mimi nilikuwa mtetezi mzuri wa dini yangu kabla sijayaona haya na kuamua kuuvunja ukimya.
MziziMkavu jipange tena kaka, lengo hapa si kuvuruga bali kujaribu kujiuliza tena na kupata majibu, japo kwa kawaida ukweli huwa mchungu mwanzoni!
 
Last edited by a moderator:

Una mashaka kwa kuwa tu dini ziko nyingi? Only that?

Mbona unakata tamaa kwa kitu kidogo kama hiki! Kwa nini hushangai uwepo wa vyama vingi vya siasa, kwa mfano upinzani ktk nchi moja? Kwa nini hushangai uwepo wa wagombea wengi wa nafasi ya uraisi kutoka chama kimoja mwaka huu ambao tayari idadi yao ni zaidi ya baraza la mawaziri? Kwa nini hushangai uwepo wa soko huria kwa ujumla, soko moja bidhaa lukuki?

Nenda kafanye utafiti, acha uvivu, soma Biblia na historia kwa ujumla, mission ya Yesu hapa duniani aliacha dini gani na kwa nini leo tunadini nyingi. Utapata sababu za kutosha kukufikirisha vizuri
 
Mtoa mada ulishawahi kujiuliza kwanini una Wazazi??!
 
Uislamu ni dini yachuki na kuua watu

Sio dini ndio inayojenga chukia au kuua watu. Bali ni watu wenyewe ambao sio watu wa MUNGU. Mbona kuna wanaojiita wakristo wanachukia watu na kuua? Kuna wengine hawana dini na wanampenda na kumwamini MUNGU na wanapenda amani, wanamchukua shetani na mambo yake yote.

Pia kuna wanaojiita Waislamu au Wakristo wanaochukia mauaji na wanapenda kudumisha upendo, wanamchukia shetani na wana mwamini na kumpenda MUNGU.
 
Ayubu 38
1 Ndipo Bwana akamjibu
Ayubu katika upepo wa
kisulisuli, na kusema,
2 Ni nani huyu atiaye
mashauri giza Kwa
maneno yasiyo na
maarifa?
3 Basi jifunge viuno
kama mwanamume,
Maana nitakuuliza neno,
nawe niambie.
4 Ulikuwa wapi
nilipoiweka misingi ya
nchi? Haya! Sema, kama
ukiwa na ufahamu.
5 Ni nani aliyeamrisha
vipimo vyake, kama
ukijua? Au ni nani
aliyenyosha kamba juu
yake?
6 Misingi yake ilikazwa
juu ya kitu gani? Au ni
nani aliyeliweka jiwe lake
la pembeni,
7 Hapo nyota za asubuhi
zilipoimba pamoja, Na
wana wote wa Mungu
walipopiga kelele kwa
furaha?
8 Au ni nani aliyeifunga
bahari kwa milango,
Hapo ilipofurika kana
kwamba imetoka
tumboni.
9 Nilipolifanya wingu
kuwa vazi lake, Na giza
zito kuwa nguo ya
kuifungia,
10 Nikaiagiza amri
yangu; Nikaiwekea
makomeo na milango,
11 Nikasema, Utafika
mpaka hapa, lakini
hutapita, Na hapa
mawimbi yako
yanyetayo yatazuiliwa?
12 Je! Umeiamuru
asubuhi tangu siku zako
zilipoanza? Umeyajulisha
mapambazuko mahali
pake?
13 Yapate kuishika
miisho ya nchi, Waovu
wakung'utwe wakawe
mbali nayo?
14 Hubadilika mfano wa
udongo chini ya muhuri,
Vitu vyote vinatokea
kama mavazi.
15 Na waovu nuru yao
huzuiliwa isiwafikie, Na
mkono ulioinuka
huvunjika.
16 Je! Umeziingia
chemchemi za bahari, Au
umetembea mahali pa
siri pa vilindi?
17 Je! Umefunuliwa
malango ya mauti, Au
umeyaona malango ya
kuzimu?
18 Umeyafahamu
mapana ya dunia? Haya!
Sema, ikiwa unayajua
hayo yote.
19 Iko wapi njia ya
kuyafikia makao ya nuru?
Na giza pia, mahali pake
ni wapi?
20 Upate kuipeleka hata
mpaka wake, Upate
kuelewa na mapito ya
kuiendea nyumba yake?
 

Mara zote tumia extra evidence to prove simple evidence, maana yangu ni kwamba, usitumie biblia kuniconvice mimi nisiyeamini hiyo biblia, tumia extra evidence.

Mfano, kumuuliza mwizi kama ameiba ni kupoteza muda, coz atajibu hapana.
Hata waandishi (fake?) wa biblia walijua haya maswali yatatokea kwenye kizazi kinachohitaji kujikomboa kutoka utumwa wa dini, ndio maana wakaweka maneno machache ya kujitetea, ingawa bado hayajatosheleza majibu ya maswli yetu,

hebu nikuulize

Mungu aliyeongea na Ayubu enzi hizo, kwa nini yupo kimya leo?
je majipu ya Ayubu yamekuwa na thamani kuliko vifo vya watu wengi wasio na hatia leo, hadi huyo mungu achague wapi pa kurespond

Je Mungu aliyejibu kwa radi katika hadithi za biblia, hiyo nguvu kaipoteza wapi leo?

Mawili, Either God is powerless or he Doesnt exist. Thats all!

EXTRA note: God is real and he does exist, but not in the form we had been told by fake books and prophets!
 
JIBU HAYA MASWALI BASI ILI NIAMIN MUNGU HAYUPO. . . .

AYUBU 38.
3 Basi jifunge viuno
kama mwanamume,
Maana nitakuuliza neno,
nawe niambie.
4 Ulikuwa wapi
nilipoiweka misingi ya
nchi? Haya! Sema, kama
ukiwa na ufahamu.
5 Ni nani aliyeamrisha
vipimo vyake, kama
ukijua? Au ni nani
aliyenyosha kamba juu
yake?
6 Misingi yake ilikazwa
juu ya kitu gani? Au ni
nani aliyeliweka jiwe lake
la pembeni,
7 Hapo nyota za asubuhi
zilipoimba pamoja, Na
wana wote wa Mungu
walipopiga kelele kwa
furaha?
8 Au ni nani aliyeifunga
bahari kwa milango,
Hapo ilipofurika kana
kwamba imetoka
tumboni.
9 Nilipolifanya wingu
kuwa vazi lake, Na giza
zito kuwa nguo ya
kuifungia,
10 Nikaiagiza amri
yangu; Nikaiwekea
makomeo na milango,
11 Nikasema, Utafika
mpaka hapa, lakini
hutapita, Na hapa
mawimbi yako
yanyetayo yatazuiliwa?
12 Je! Umeiamuru
asubuhi tangu siku zako
zilipoanza? Umeyajulisha
mapambazuko mahali
pake?
13 Yapate kuishika
miisho ya nchi, Waovu
wakung'utwe wakawe
mbali nayo?
14 Hubadilika mfano wa
udongo chini ya muhuri,
Vitu vyote vinatokea
kama mavazi.
15 Na waovu nuru yao
huzuiliwa isiwafikie, Na
mkono ulioinuka
huvunjika.
16 Je! Umeziingia
chemchemi za bahari, Au
umetembea mahali pa
siri pa vilindi?
17 Je! Umefunuliwa
malango ya mauti, Au
umeyaona malango ya
kuzimu?
18 Umeyafahamu
mapana ya dunia? Haya!
Sema, ikiwa unayajua
hayo yote.
19 Iko wapi njia ya
kuyafikia makao ya nuru?
Na giza pia, mahali pake
ni wapi?
20 Upate kuipeleka hata
mpaka wake, Upate
kuelewa na mapito ya
kuiendea nyumba yake? . . . .

JAPO NI YA BIBLIA, WEWE YAJIBU TU
 
Habari wote.
Maada hii ni ya kishetani na imetoka kwa wale ambao ji wanachama wa chama cha nguvu za Giza.hawa ni waabudu shetani ambao kwa sasa wanajaribubkuja wazi wazi kwenye mitandao na kuanza kujiposition na kuleta mawazo ambayo yatajaribu kubadili fikra za kweli za uwepo wa uflame wenye Nguvu kuliko falme zote Duniani na Mbinguni.Mungu yupo, shetani aliyelaaniwa na Mungu pia yupo.We mtoa maada na hao ndugu zako izo mbinu zenu mlizotumwa kwenye mahall yenu ya kusali uchi na kutioa sadaka za watu Mshindwe kwa Jina la Yesu christo wa Nadhareti.Kama kweli wewe mwanaume rudia kutaja ilo jina apo tuone utakavyoanguka na mapepo kukupanda.
 
jwille unaumwa? tumia kichwa kufikiri..sasa porojo za ushindwe una mtisha nani?
mimi nilipewe wiki moja nife eti nimevipinga hivi vitabu vitakatifu lakini nadunda..nyie mtaendelea kupelekeshwa na akina Gwajima hadi mwisho wa maisha yenu
 
Last edited by a moderator:

Kwa jina la Yesu christo wa Nadhareti

Nimerudia maneno yako na hakuna kilichotokea zaidi ya cheko kubwa la huruma kukuhurumia wewe usiyetamani kuujua uhalisia wa mambo.

Waafrika ni waoga sana wa vitu visivyo halisi kuliko vitu halisia, that is our weakness

badala ya kuuogopa umaskini wetu ulio real, tunaiogopa jehanam isiyo real,

Thats a shame!
 
jwille unaumwa? tumia kichwa kufikiri..sasa porojo za ushindwe una mtisha nani?
mimi nilipewe wiki moja nife eti nimevipinga hivi vitabu vitakatifu lakini nadunda..nyie mtaendelea kupelekeshwa na akina Gwajima hadi mwisho wa maisha yenu


Keep it up brother, the truth must be truth with truth inside the truth!

We can avoid death, but we cant avoid the truth that death is not a punishment, but is legal destination of all of us.
 

Ok haya ni mawazo yako kweli. Mimi nikuulize, wewe unaamini imani gani, nini msingi wake, na inasemaje kuhusu uwepo wa Mungu?
 
Last edited by a moderator:

Naona kama unaota vile.... Kwa hiyo unajifananisha na mmea? Kwamba nyota zinazaliwa...... Hiyo biology yako haipo, hata hujui kuwa nyota ni non-living thing, utajuaje kuwa kuna Mungu!
 
Ok haya ni mawazo yako kweli. Mimi nikuulize, wewe unaamini imani gani, nini msingi wake, na inasemaje kuhusu uwepo wa Mungu?

Welcome Junior Member

Kwanza nikueleweshe kwamba mwanadamu hahitaji dini kama anavyohitaji pumzi, dini ni mfumo unaomkuta mwanadamu akiwa amekwishazaliwa, yaani ukizaliwa Saudi Arabia wewe ni mwislam kwa possibility ya 80%, na pia ukizaliwa vatican wewe ni mkristo kwa posibility ya 80%.

Sasa mimi ni dini gani, ntakujibu hivi, kwa dini niliyozaliwa nikaikuta kwa wazazi ni christianity, wakati ukubwani nikakumbana na islam (coincidence?)

hiyo ilinipa nafasi ya kutazama upya wapi ni wapi na nini kilikuwa na maana gani katika dini hizi mbili.

Huo ndio mwanzo wa kujiona naweza kufanya physical responsibilities without the help of mythical beings (religion).

but kumbuka mara zote research is better than hearsay, siri ni kuchunguza kwako na kwa mwenzio bila biased thoughts, hapo unapata mwanga kidogo unaokuwezesha kuona malengo halisi ya dini duniani.

hebu tuanzie hapo kwanza......
 

Ukristo siyo dini kwa nini unamdanganya mwenzako?
 
Ujujaji ukizidi nayo ni kero wakati mwingine.
 

Unajitoa ufahamu tu ww ebu jaribu kutumia akili kidogo tu kumchambua Mungu yani tenga sifa zake,uwezo wake then yachambue Nadhani utapata jibu hakuna kitu kama Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…