Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Mleta uzi anatuchanganya kidogo kama siyo sana. Kwanza haeleweki kama anataka kusema uislamu na ukristu siyo dini za kweli? Hapa tukiwa na maana kuwa dini ni imani ya mtu kwa mungu na hapa mungu ni superpower au anataka kusema korani na biblia siyo vitabu vitakatifu kwa kuwa vina misingi ya mambo ya kuambiwa na havikidhi mahitaji ya mahusiano ya mungu na mtu. Kwa vyovyote itakavyokuwa dini ya kiislam na ya kikristu inajikita kwenye imani ya mhusika katika yale anayoambiwa hasa sasa wakati waasisi wa imani hizo hawapo ie Yesu na Mohamad. Tena imani hubadilika kutokana na nyakati na ni sehemu ya utamaduni wa jamii husika.
 
Mawazo yako ni sawa sawa na mawazo ya Mwenda wazimu anye tukana na kuvua nguo ovyo bila ya yeye huyo Mwenda wazimu kujijuwa anachokifany ni kibaya au kizuri? Ningekushauri wewe uliye toa hii maada nenda kwanza Hospitaliza wagonjwa wa akili ukapimwe akilizako una hitilafu kwenye ubongo wako. Fikiria kwanza je wewe mwenyewe umejiumba? au umezaliwa? na huyoaliye kuzaa amezaliwa nanani?

na huyo aliye mzaa mama yako amezaliwa na nani mpaka mwisho wa ukoo wenu je huyo wa mwisho katika familia yenu alijiumba yeye mwenyewe? au alizaliwa na bindamu kama wewe ulivyozaliwa?kisha tafuta kwanza hapo jibu. Kisha ndio uingie katika Masuala ya Dini dini.

Unakaa unaandika utumbo kama huo ulioandika maneno yako ya pumba hayafaia hata kuwekwa humu ndani.Umesom shule mpaka darasa la ngapi? kaa ufikirie ni nani anaye leta usiku kutoka mchana? kisha ulete jibu lako kisha kaa ufikirie ni nani anayeleta mchana kutoka usiku? Kisha

ndio ulete jibu toka kwako. Jiulize kwanini wewe unalala usingizi?au kwanini wewe unakufa? na ukisha kufa unakwenda wapi? na kwanini wewe unasikia njaa tumboni? Ukisha pata hayo majibu ndipo ukimbilie kutukana Dini za Kiislam na Dini za Kikristo.
 
Why don't you 1st ask your God,being Jesus or Allah to command the sun to rise from west and set to east? If he can do so,I will believe that he is real God.

Makanisa yanaongezeka.Injilili inafundishwa na kusambazwa kwa kasi.Misikiti inazidi kujengwa na uisilamu unaendelea kusambazwa kwa kasi.Lakini haya yanaenda sambamba na ongezeko la matatizo,magonjwa,chuki,ujinga na vifo kwenu.Kwa nini mnawaomba na hawawasaidii chochote?
Unatambua kwamba wajanja wanatumia hizi dini kujitoa katika kundi la masikini na kuwa matajiri wa kutupa?
Utaendelea kutajirisha wenzio hadi lini ilhali wewe unaogelea kwenye wimbi la umasikini na ujinga wa namna hii?

TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Hoja iko mezani, mleta Uzi anasababu, zamsingi kabisa zisizo hitaji elimu ya darasani, geografia inaeleza kwa ufasaha kabisa kwa mini usiku na mchana, pia mambo na hoja za kumpinga mleta Uzi kwa kutukana ni matokeo ya ufinyu wa fikra, nivizuri mzizi mkavu ukajibu hoja kwa kujenga hoja huo ndio Msingi wa uweledi. usiwazuie watu kutuo hoja walizonazo tena za Msingi kwa kutukana.
 
Elimu. Ni muhimu ili uweze kuamini uwepo wa Mungu.
Pia uweze kutofautisha alivyoviumba na muumba.
Bila Elimu sahihi trust me u will go astray!
Mimi binafsi nilikuwa najiuliza kwa nini hatuzaliwi tukikua kila kitu?
Kwa nini jatujuwi mambo mengi mpaka tujifunze nani ajuaye kila kitu
Tunabia elimu Bahari, haona mwisho
Uvijuavyo na uviongeavyo ni kama ulivyosema ni hearsay
We we binafsi ulishawahi fanya utafti ukaijuwa kweli.
Maana tunaambiwa ijuwe kweli itakuweka huru
Hiyo kweli ni ipi iko wapi na nitaipataje!?
 

Unaambiwa Soma kwa jina la mola wako.
Ukisoma vema utagundua kuwa Mwenye Elimu ni Mbora zaidi ktk jamii Sio tu ktk Jamii bali hata mbele ya Muumba.
Elimu ni kila kitu!
swali ni elimu ipi hiyo
Kuna 1. Elimu kuhusu muumba(mungu) hatuipi kipaumbele 2. Elimu tunayo ipa kipaumbele ni Dunia na vilivyomo. Elimu ya sayansi na Technologia

Matokeo yake tunakosa Uadilifu hasa ktk viongozi wa kitaifa.
Ili uweze kuwa mwadilifu lazima uwe na hofu ya mungu.
Hiyo hofu ya mungu unaitoa wapi hali huna Elimu sahihi kuhusu uwepo wake!?
kwa hiyo ukosefu wa Elimu ni Tatizo kubwa waweza kuwa umesoma una the so called certificates of degree, masters and doctrine of philosophy
Lakina bado hujaelimika
Mtu yeyote aliyeElimika lazima ujuwe uwepo wa Mungu lazima uweze kutofautisha kweli na isiyokweli.
utawezaje ni kwa uwezo wa aliyekuumba na anayekupa pumzi bila malipo.
Tunakufa kwa sababu mwenyepumzi kachukua pumzi yake, ni kitu gani ukikosa ndani ya dakika chache unawezakufa si kwa mkubwa wala kwa mtoto!?
Ni pumzi (Oxygen)
Unahitaji Oxgeni ili uishi mbali na mahitaji mengine oxygen ni muhimu sana.
Unaweza kuniambia ni kwa nini mtoto akizaliwa lazima aliye!?
Kwa nini mtoto mchanga kituchakwanza kufanya duniani ni kilio!? Wazazi wanafurahi.
Siku ya kufa uko kimya umelala. wakilokuwa wakichekelea wanaangua mayowe na vilio!?
Ni nini falsafa ya maisha!?
Unahitaji hekima na busara kulitambua hilo hekima na busara havifundishi shuleni!

Unaijua historia ya mfalme Suleiman!?
Msome ktk vitabu vyote vitakatifu(tourat, zaburi, injil: & Quran)
Soma tu kwa kujielimisha
Knowledge is power sio lazima uwe muumini wa hayo madhehebu!
Dini ni mwongozo wa maisha kwa mwanadamu kutoka kwa mungu.
Aliyetuumba hakutuleta hapa duniani bila dira wala mwongozo.
Ametuleta hapa duniani ili tumwabudu.
Ili tuweze ishi na mumwabudu vyema aliyetuumba alimpa Elimu baba yetu Adam.
Uhasa wa shetan devil na Adam uko ktk Elimu.
Mbele za Mungu Adam ni mbora kuliko viumbe vyote vilivyowahi kuumbwa wakiemo Malaika. Shetan alikaidi hivyo...
Walimu wetu ktk hii dunia ni;
1. Adam, Nuhu, Ibrahimu
Musa (Tourat), Daudi (zaburi) Yesu(injil) na Mohammad (Quran)
Walimu wako 25 waliopewa vitabu ni wanne tu!
Huwezi kutambua uwepo wa Mungu bila Elimu sahihi inayomuhusu Muumba.
Na dalili zote zilizo kuzunguka unawezaje kusema Mungu hayupo.
Asiye Amini uwepo wa Mungu sio mjinga bali ni Mpumbavu!

Kuna tofauti gani kati ya Ujinga na Upumbavu!?
 

Wew n mmoja wa wendawazimu....mtoa mada toka nianze kuingia jamiiforums sijawahi kukuta mtu kandika upuuz kama uyu kwanza anazungumzia uislam asiyoujua ili ujue ajui et anasema Quran ina amrisha mwanamke na mwanaume wafanye kitu Fulani hakuna mstari unaotoa mashetani a.k.a mapepo uyu n useless hakika ujui Quran usiseme uschokijua hao mabwana zenu wanaenda kushushiwa aya takatifu.wanapokwama ckia juu ya mwenyezi mungu alivyo mtukufu Quran una kila kitu anachohitaji binadmu una hofu nafs yako zipo aya za kukuondoa hofu unasumbliwa na mashetani zipo unataka msaada wa kujua jambo fulan zipo aya wew ----- hujui hata alfatiha unataka kuzungumzia uislam ujui lolote umekula ugari umeshiba kanye usingie ucpopajua.......Quran haijaacha kitu hadi www ----- na ukoo wako washawazungumzieni......uwez kufanansha Quran na biblia alondika mvatikan
 

sasa tukianza kutrance vizazi vimetokea wapi ndo tuamini tumeubwa na mungu?? kwani yeye kazaliwa na nani uyo mungu?
 
Lengo ni kukuingizia kiza fulani ili uitilie shaka imani yako.
 
Mimi nimezaliwa katika familia ya kikristo lakini nimekuwa nikijiuliza maswali mengi juu ya mgawanyiko mkubwa katika hizi imani zetu (iwe ukristo au uislamu) kwanini kuna madhehebu kede wa kede ilihali wote wanatumia kitabu cha aina moja (waislamu quran na wakristo biblia) kiukweli nadhani there's something wrong kwenye hizi dini. Kama bible na quran zililetwa na mungu kwanini haziko straight and consistency ili kama ikitokea mtu anaenda kinyume tukamjua (kwamba huyu ni mwongo)? Lakini leo kuna madhehebu kibao na yote yana basis kwenye hiyo hiyo biblia au quran. Na kila dhehebu linajiona lenyewe ndio la ukweli na wengine wamekengeuka. Mfano kwa wakristo ukimsikiliza mlokole atakwambia wakatoliki au anglikana wamepotea na atakupa mistari ya bible ukimsikiliza msabato huyo naye atakwambia madhehebu wmngine yote wamepotea isipokuwa yeye na atakupa bible verses na wengineo wengi, tatizo li wapi? Kwanini mungu (kama yupo) hakuleta kitabu kitakatifu kisicho na mkanganyiko kwetu ili huu muda wa kubishana which is which tungekuwa tunamuabudu yeye. In conclusion, nina mashaka na hizi dini zetu ingawa nimezaliwa katika familia inayoamini.
 

Qur ani haijawahi ku edited.
 
Last edited by a moderator:
sasa tukianza kutrance vizazi vimetokea wapi ndo tuamini tumeubwa na mungu?? kwani yeye kazaliwa na nani uyo mungu?
Kuna binadamu wana vichwa vya ajabu sana aisee ....

Yaani wewe jamaa sijui unafikiri kwa kutumia nini .....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…