tunakufa sababu cell zetu zinashindwa ku regenarate kwa kipindi fulani na nature hairuhusu species zilizozeeka kuendelea kuishi na sio binadamu tu ambao tunakufa hata mimea inakufa hata wanyama wengine wanakufa hata yota zinazaliwa zinaishi zinkaufa hivyo kuzaliwa kusihi na kufa sio kitu cha kipekee sana kwa binadamu.
Watu wenye akili kama mtoa mada tupo wachache sana ila najua dini zina kipindi kifupi sana kuendelea kuwa fool binadamu haiwezekani wahusika wa kufikrika kama shetani,mungu na allah wawe wankubalika na watu kama vile wahusika halisi.
Okay!Unaweza kuniambia kwa nini unakufa?Au kuniambia nini kusudi la haya maisha?
Hapo hapo na wewe ujiulize kuwa,
Kukosa jibu la sababu ya kufa ndio useme kuna mungu?
Wewe ni theist so I'm giving sorry because you don't know anything in it.
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa
There are few religions though, including but not limited to non theism who believe in no God without evidence, Muslims who believe in Allah who said THERE IS NO GOD, et al. The difference between Christianity and every other faith in the world is that all other religions are about man trying to reach up to God.
Christianity is about God reaching down to man through Jesus Christ.
This is a very important distinction, and it is core to what I believe, so I would like to try to clarify what I mean. Here is the way I am defining religion:
Religion is a system of beliefs or a code of moral conduct that judges (qualifies or disqualifies) a person based on their adherence and obedience to certain codes, rules, laws, traditions, or the performance of required acts.
You may ask God Haters with their religion of non theism, why are they addicted to a deity who never existed? Only non theists and fools like God Haters will spend years fighting a deity who never existed. Pathetic atheists.We ishi kwa raha tu, tenda wema usimkwaze mtu, achana na riwaya zilizokuja kwenye majahazi. Leo hii wasukuma wangekuwa ulaya au asia, basi Mwanamalundi angekua nabii wa watu weusi kwa maajabu ni miujiza aliyoitenda sema alikosa promo ya kutosha tangu enzi hizo.
IF UR god. then who created you??
Mwandishi umepotoka uliposema vitabu vya injili ni hear say.zile ni first hand account vitabu vya hear say utavikuta kwa wakatoliki kama masadukayo na vingine.
Okay!Unaweza kuniambia kwa nini unakufa?Au kuniambia nini kusudi la haya maisha?
kwanini ukubali kufa wakati wewe ni Mungu; kataa kufa uishi milele