Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa
sasa amuombe nana na kwa dini gani ambayo anaweka imani yake ....
 
wewe endelea na hyo physical responsibility yako upate maendeleo na utajiri wote wa dunia unaoutaka,,ila fahamu kuna Siku utakufa utaviacha vyote,na mbivu na mbichi zitajulikana huko..tuache na imani zetu unazoona ni upumbavu.
 
Afu usipende kugenerise mambo..eti unasema ndio maana waafrika in maskin kwa lipi!! Tumekuambia hatuli chakula,au tunatembea uchi?au tumejipanga wote barabaran kuomba misaada?? none sense!!!
 
. UKRISTO SIO DINI

Kajipange tena kijana
​
UISLAMU NI UPUUZI ULIOTUKUKA, (uongo,uongo) HAKUJAWAHI KUWEPO KAMTU KANAITWA SIJUI MTUME MUHAMMAD(ujanja ujanja tu)BADILI NAMNA YAKO YA KUFIKIRI BW MDOGO. Utapotea.
 
Daah kila mtu na imani yake kijana ww baki tu na imani yako ukifa ndo utajua km kuna Mungu,Moto,pepo omba visiwepo lkn km vipo imekula kwako bora sisi tunaishi kwa kuamini dini tukifa vikiwa havipo hatujapata hasara ila shughuli vikiwepo sasa
Utaamini Kuna mungu na moto upo na ukifika mungu huyohuyo ameshakukokea moto akuchome. MUNGU ATAWACHOMA WALE AMBAO MLIAMINI YUPO NA HAMKUISHI MATAKWA YAKE ,wasioamini watabaki salama.
 
vp mkuu hukufungua kanisa tupate kuja kujadili haya vizuri
 
Naamini kuna Mungu,

Naamini anahusika na uumbaji wa kila kinachoonekana na kisicho onekana,

Naamini ameniiumba kwa mfano wake na kinifanya niwe special zaidi ya viumbe wengine wote,

Ndani yangu kuna nguvu ya uungu,inayoniwezesha nami kuwa na uwezo wa kuumba,kuua na kuamuru na kutawala ulimwengu.

Siamini katika kila kinachoandikwa na vinavyoitwa vitabu vitakatifu, Biblia,Quran etc, japo ninavisoma vyote

Siamini ktk mifumo ya dini na kuabudu ambayo binadamu wamejitungia ya Ukristo ,Uislaam ,etc etc




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiconclude kwamba wewe in special kila kiumbe ni smart and special in its own way. Na ulijuaje kama kakuumba kwa mfano wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungezaliwa sehemu ambayo hata hujawahi kuisikia kinachoitwa Mungu unadhani sasa ungekuwa unaamini Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…