Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Neither chrisianity or muslim can justify the existance of god but only the non & ling creatures can do.
 

Zinzfznyzkazi = Zinafanya kazi
Ukimywanga = ukimwaga
Ulimaanisha pressure au Pleasure?

By the way tendo la ndoa/ kufanya mapenzi kunahusiana na watu wawili tu na hakuna yoyote anayehusika zaidi ya wale wanaoshiriki tendo husika
 
Watu wenye akili kama mtoa mada tupo wachache sana ila najua dini zina kipindi kifupi sana kuendelea kuwa fool binadamu haiwezekani wahusika wa kufikrika kama shetani,mungu na allah wawe wankubalika na watu kama vile wahusika halisi.

Ni vitu vingapi vya kufikirika ambavyo mpaka ss umekwisha viamini kama vitu halic
 
Kinachofurahisha, wale wenye dini BORA, wamenyewea kwa uzi huu. Lakini ingekuwa baina ya wawili tu, duu ! reference, matusi,majigambo n.k
 
Hadi hiyo akili inayotumika kufikiria vitu vya kufikirika ni ya kufikirika, dada huna akili au umewahi kuona akili?

Mkuu hebu kusanya maneno yako kisha uyapange vizuri ili walau ulete mstari mmoja wenye kuleta maana
 
Hujuwi ulinenalo ! InShaAllah Mola Akusamehe kwa Upumbavu wako.

no don't say that Sikh zote uzuri wa kitu chochote tunaangalia na product or effect yake ktk jamii hv kuwepo kwa huo uislam dunian kumeleta manufaa gan
 
no don't say that Sikh zote uzuri wa kitu chochote tunaangalia na product or effect yake ktk jamii hv kuwepo kwa huo uislam dunian kumeleta manufaa gan

uislamu umeleta amani,upendo,ustaarabu,haki,maelewano ktk jamii,usawa,umekemea rushwa,ufisadi,uzinifu,mauaji,umekataza maovu yote na kuamrisha kutenda mema.
 
uislamu umeleta amani,upendo,ustaarabu,haki,maelewano ktk jamii,usawa,umekemea rushwa,ufisadi,uzinifu,mauaji,umekataza maovu yote na kuamrisha kutenda mema.

Why You detached From Reality?
Boko Haram Hawatetei Uislam?
Islamic state?Al-shabaab?

Amani Ipi Uislam Umeleta?wanawake wangapi wanauliwa kwa kutokuvaa Hijab au kuzini?Huu Bado ni Upendo?
Usawa upi Qur'an Imeleta?wa kumfanya Mwanamke kama Sex Machine?
 

Nyie Ndiyo ninao watafuta
kila kitu kisichokuwa upande wenu lazima Mseme kimetolewa Google

Usiropoke Bila kuwa ushaidi,kama unafikiri Hii C&P,Basi tuletee Link ya Blogs au Website ambapo Mtoa Mada amekopi
 

unao uthibitisho kwamba boko haram!alshabab,ni waislamu?na hao unawahusisha vipi na uislam?je!unao uthibitisho wa kwamba hayo maovu wanayo yafanya ndivyo uislamu ulivyo fundisha?wapi katika uislamu mwanamke kafanywa sex machine?tofautisha kati ya uislamu na mwislamu!
Wewe unaishi na waislam hapa tz toa mfano wa uovu uliyofanyiwa na muumini wa kiislamu!,achana na uzushi wa kimataifa!
 

Unachekesha sana.
Una utofautishaje Uislam na Muislam,wakati Muislam ni zao la Uislam?

Boko halam,Islamic state siyo waislam?Neno "Islamic state" pekee linathibitisha wanachopigania.

Mwanamke ni kama sex-object tu katika Quran.
 
Unachekesha sana.
Una utofautishaje Uislam na Muislam,wakati Muislam ni zao la Uislam?

Boko halam,Islamic state siyo waislam?Neno "Islamic state" pekee linathibitisha wanachopigania.

Mwanamke ni kama sex-object tu katika Quran.

wewe ndiyo unachekesha!kuona tango pori katikati ya bustani ya michungwa!ukadhani kwamba ni zao la mchungwa!wanacho fanya IS,boko haram,alshabab hakina uhusiano wowote na uislam!jiulize kwanini hao magaidi wanatokea nchi za ulaya?silaha wanatoa wapi?kwa nini wanao uwawa na watu hao wengi wao ni waislamu?nikupe mfano:daktari amepata mafunzo mazuri ya udaktari,daktari huyu kasababisha vifo vya makusudi kwa wagonjwa!kwa kuwe yeye ni zao la udaktari basi tuseme kwamba udaktari wote ni mmbaya?kwa faida yako mafunzo ya uislam yamefundisha kwamba kuua nafsi moja na sawa sawa na kuua watu wote!haimaanishi kila anaye vaa kanzu ni mwislamu!uislamu ni kufuata yale yaliyo fundishwa na uislamu,kinyume cha hapo huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine!kuhusu mwanamke kuvaa hijabu,huna haja ya kwenda mabali wapo unao ishi nao waulize kama kama hilo unalo sema linaukweli wowote!dai la kuwa mwanamke ni ni sex machine!hulipo katika uislam!kama unauthibitisho toa!
 

Why Islam is Linked with Terrorism - Best Answer ?: http://youtu.be/5viqyyt2RbQ plz naomba huyu jamaa angalie hii video kdogo inaweza ikamsaidi kutoa upumbavu alio nao
 

Why Islam is Linked with Terrorism - Best Answer ?: http://youtu.be/5viqyyt2RbQ

Check hizo facts kdogo vnaweza kukusaidia
 
ukifikilia kwa haraka haraka unaweza kuhisi mungu yupo
lakini ukikaa ukatafakali kwa kina na kwa mapana marefu na ukiangalia matatizo ambayo yanaikabili dunia bila solution utagundua kwamba mungu hayupo ila watu wanadanganywa
mm zamani nilikua najiuliza maswali mengi sana kuhusu mungu na niliishi kwa hofu sana nilikua najua muda wowote kinaweza kutokea chochote lakini siku moja nilikuja kugundua mungu hayupo na toka siku hiyo maisha yangu yamebadilika sana na ninayaona maisha yangu halisi jinsi yalivyo na namna gani niishi sio niishi kwa kuhisia vitu ambavyo avipo.
 

Well said Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…