Ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku

Okay je Elimu ya Baba levo ipoje ?
 
Ina nina uhakika tu wa 100% pamoja na hii Taarifa yako nyenye Chuki na Wivu kwa Mafanikio yako ya sasa Kakuzidi Pesa.
 
Kama kweli alifanya hivyo mzumbe basi nampongeza Sana, no wonder mpaka sasa anao uwezo wa kuzisaka kwa namna yoyote Ile. Yeye hajali Sisi tunamwonaje huku nje, cha muhimu kwake anatumia ujanja kupata mpunga na anapiga hatua
Kongole kwake
 
Nimesoma Udsm 2009-2012 sura ya Mwijaku sio ngeni machoni pangu kabla ya umarufu wake..... Inaweza kuwa kweli kasoma Udsm.
 
Inawezekana bado afanya michezo ya kugushi
 
Huo ndio ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku ya mzumbe. Hana degree ya Mzumbe japo darasani alikuwa yupo vizuri.
Kwahiyo ana degree yaaaaaaaaaaaamiezi mitatu aliyopatia rumande
 
Inabidi TISS wafanye vetting kali sana kwa hawa watia nia ya ubunge, Hayo madudu alioyafanya huko Mzumbe kwa nchi za wenzetu hatakiwi hata kuisogelea fomu ya kutia nia ubunge, huyu ni FRAUDSTER. Mtu kama huyu akiingia bungeni hakawii kuiuza nchi kwa mafisadi, kwa heshima yake anatakiwa aachane na nia yake ya ubunge asap.
Na huyu sijui Shilole, nimeona eti nae anatia nia, hivi huyu kwa sifa yake ya kuvipanga vi ben ten na kuviacha, hilo tu linamfanya asiisogelee fomu ya ubunge, kwa lugha nyepesi huyu ni MALAYA, nae kuiuza nchi ni rahisi sana kutokana na hio tabia yake ya umalaya. Inabidi vetting iwe kali sana maana tabia za mtaani uwa zinaakisi sana na za kazini kwa mtu yeyote yule.
 
Yupo team ndondocha huyu, watafutwe classmate wake wa udsm watueleze kidogo huu ukilaza wa huyu Bwana ilikuaje alipokuwa hapo chuo na wao kama chuo wanajisikiaje
 
ishu ya umalaya itoe hapa. Maana lile tendo hufanywa na kila kiumbe chenye sifa ya kujamiana. Komaa na fraud ya kitaaluma
 
CCM washakuambia chama chao kinapendwa na wengi na kina demokrasia kubwa na pana, hivyo basi ni ruksa yeyote kuomba kuchaguliwa chamani kwao haijalishi una elimu gani na uchumi gani
 
Unaweza kupata chuo baada ya muda fulani kupita
Ni miaka 2 kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.. Ukifukuzwa chuo ikipita miaka 2 unaruhusiwa ku apply chuo kingine na kozi ingine tofauti na uliyofukuzwa nayo.
 
So what? Wewe Degree yako imekupa nini zaidi ya uchawa wa DAyaMoNdi? Mwenzako anaishi expensive life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…