Ulijuajee,Nyie malaria inawaendesha sana
Inawezekana kupata maambukuzi. Ila sio kirahisi rahisi. Kiukwel mie nishawahi kuteleza kwa waathirika kadhaa tena mmoja nili-sex nae zaidi ya mara 100 tena peku.
Lakini alhamdulillah nipo salama, sasa sijui ni sababu ya O negative au kuna sababu nyingine.
Hakuna ukweli wowote kuhusu hayo, hakuna cha resistant wala nini kinachomfanya mtu kuwa resistant wa virusi vya ukimwi ni genetic anomality inayotokea pale ambapo gene code "CCR5" inapopata mutation ambayo kwa asilimia kubwa itaathiri chembe chembe zako za damu kutokuwa na ukuta (cell membrane na si cell wall) wenye upenyo( soma zaidi kuhusu fluid mosaic model utaelewa namaanisha nini) wa kuruhusu kirusi kujishikiza wachilia mbali kuingia.
Hivyo hawa watu hata uwaingize damu ya mwathirika yaani hapati ukimwi wala nini na asilimia 1% tu duniani ndo wana hiyo mutation wengi wao ni wanapatikana nchi za ulaya na hawa wametokana na kizazi cha wale watu waliopona ugonjwa mbaya wa tauni walioupa jina (the black death fuatia zaidi ni histiria nzuri) ambao kirusi chake kinafanya kazi sawa na HIV hivyo wakapata bahati ya kurithi hiyo mutation .
Sababu nyengine ni exposure ya kirusi ya mara kwa mara , hapo nairobi kenya kuna wataalam walifanya utafiti mdogo uliohusisha machangudoa na waliwapima ila wengi walikutwa hawana ukimwi licha ya kufanya ngono zembe kwa muda mrefu .
Basi wakawachukua baadhi yao wakawawezesha kama part ya experiment hivyo kupelekea hao changidoa kujiweka mbali na kazi yao , baada ya muda mrefu wakaja kuwapima ndipo walipogundua hao waliowawezesha wamepata maambukizi na wale walioendelea ka kazi yao hawakuwa na maambukizi na hawa ambao waliendelea na kazi yao wakakutwa na extra layer ya protein kwenye seli hai zao .
Wakafikia conclusion kwamba hata exposure ya aina mbali mbali ya virusi vya HIV inapelekea mwili ku addapt na kutafuta njia mbadala ya kujikinga .
Kingine ni kuna watu baadhi miili yao inakuwa na uwezo wa kulimit kiwango cha virusi ndani ya miili yao yaani unakuta anapata maambukizi lakini viral load per cell inakuwa ndogo mno na virusi huwa haviendelei kujizalisha wala kutafuta njia ya kutoka ndani ya cell na kufanya maambukizi zaidi.
Hawa watu wanaitwa HIV controllers na hii haitegemeani na group la damu .
Hawa watu wanaweza kuambukiza wengine ila wao hutokaa usikie wanapata magonjwa mengine yanayotokea baada ya kupata ukimwi kamwe na unaweza ukawapima waka test negative.
Nijuavyi ni kwamba kuna magojwa ya kawaida yasiyoambukiza ambayo kila kundi la damu linaathiriwa zaidi na huo ugojwa mfano group AB magonjwa ya mfumo wa moyo, B kisukari na O ni vidonda vya tumbo.
O+ ipo vizuri sana ila O- best of all blood groups according to rhesus factor.+ siyo resistant?
O-ve Ni best kwa sababu haina antigens watakaofanya ma group mengine ya damu kuzalisha antibodies hivyo ni blood group isiyokataliwa na ma group mengine (isipokuwa golden blood) ya damu ndiyo maana wakaitwa UNIVERSAL DONORS.O+ ipo vizuri sana ila O- best of all blood groups according to rhesus factor.
Group type haina uhusiano wowote na maambukizi ya magonjwa.Hey!
Wataalamu wa masuala ya Cardiac System naomba ufafanuzi hapa;
Inasemekana kuwa mtu mwenye blood group O anakuwa resistant dhidi ya maambukizi mbalimbali ikiwemo HIV.
Inasemekana pia kuwa mtu mwenye blood group O hawezi kupata maambukizi toka kwa mtu asiye na blood group O, yani ili aambukizwe inabidi muambukizaji awe ni group O mwenzake tu. Naomba kujua ukweli kuhusu hili.
HongeraToa hizo scenario zooote.
Binafsi ni O positive ugonjwa unaonisumbuaga ni mafua na kikohozi.
Kuna kiukweli ndani yake, kwa upande wangu
Hey!
Wataalamu wa masuala ya Cardiac System naomba ufafanuzi hapa;
Inasemekana kuwa mtu mwenye blood group O anakuwa resistant dhidi ya maambukizi mbalimbali ikiwemo HIV.
Inasemekana pia kuwa mtu mwenye blood group O hawezi kupata maambukizi toka kwa mtu asiye na blood group O, yani ili aambukizwe inabidi muambukizaji awe ni group O mwenzake tu. Naomba kujua ukweli kuhusu hili.
Duuh! Kwahiyo sisi wenye O damu yetu itakuwa ni tamu ndio maana mbu wanaipendaMimi ni O+ ambacho mpaka sasa nina uhakika nacho ni kwamba O anang’atwa sana na mbu.
Yaani mkikaa nje usiku mtu mwenye O na mwingine labda A, B au AB basi wewe mwenye O lazima cha moto ukione wakati huo unapiga piga mbu mwezako hana habari

Hapana..... mie sijaoa bado, ila tu namaanisha ni mtu ambae nilidumu nae kwenye mahusiano kwa muda kiasi.Huyo mara 100 atakua mkeo
Na vidonda vya tumbo vinawasumbua sanaChangamoto yetu kubwa hilo group ni kisukari!! Hapo sio WOTE ila 90%
Katika elimu ngumu ni jinsi cell ya mwanadamu inavyofanya kazi ni moja ya somo zuri sanaHakuna ukweli wowote kuhusu hayo, hakuna cha resistant wala nini kinachomfanya mtu kuwa resistant wa virusi vya ukimwi ni genetic anomality inayotokea pale ambapo gene code "CCR5" inapopata mutation ambayo kwa asilimia kubwa itaathiri chembe chembe zako za damu kutokuwa na ukuta (cell membrane na si cell wall) wenye upenyo( soma zaidi kuhusu fluid mosaic model utaelewa namaanisha nini) wa kuruhusu kirusi kujishikiza wachilia mbali kuingia.