Ukweli kuhusu Blood Group 'O'

Ukweli kuhusu Blood Group 'O'

Inawezekana kupata maambukuzi. Ila sio kirahisi rahisi. Kiukwel mie nishawahi kuteleza kwa waathirika kadhaa tena mmoja nili-sex nae zaidi ya mara 100 tena peku.

Lakini alhamdulillah nipo salama, sasa sijui ni sababu ya O negative au kuna sababu nyingine.
 
Hongera sana kwa kuchakata mara 100
 
Inawezekana kupata maambukuzi. Ila sio kirahisi rahisi. Kiukwel mie nishawahi kuteleza kwa waathirika kadhaa tena mmoja nili-sex nae zaidi ya mara 100 tena peku.

Lakini alhamdulillah nipo salama, sasa sijui ni sababu ya O negative au kuna sababu nyingine.
Huyo mara 100 atakua mkeo
 
Hakuna ukweli wowote kuhusu hayo, hakuna cha resistant wala nini kinachomfanya mtu kuwa resistant wa virusi vya ukimwi ni genetic anomality inayotokea pale ambapo gene code "CCR5" inapopata mutation ambayo kwa asilimia kubwa itaathiri chembe chembe zako za damu kutokuwa na ukuta (cell membrane na si cell wall) wenye upenyo( soma zaidi kuhusu fluid mosaic model utaelewa namaanisha nini) wa kuruhusu kirusi kujishikiza wachilia mbali kuingia.

Hivyo hawa watu hata uwaingize damu ya mwathirika yaani hapati ukimwi wala nini na asilimia 1% tu duniani ndo wana hiyo mutation wengi wao ni wanapatikana nchi za ulaya na hawa wametokana na kizazi cha wale watu waliopona ugonjwa mbaya wa tauni walioupa jina (the black death fuatia zaidi ni histiria nzuri) ambao kirusi chake kinafanya kazi sawa na HIV hivyo wakapata bahati ya kurithi hiyo mutation .

Sababu nyengine ni exposure ya kirusi ya mara kwa mara , hapo nairobi kenya kuna wataalam walifanya utafiti mdogo uliohusisha machangudoa na waliwapima ila wengi walikutwa hawana ukimwi licha ya kufanya ngono zembe kwa muda mrefu .

Basi wakawachukua baadhi yao wakawawezesha kama part ya experiment hivyo kupelekea hao changidoa kujiweka mbali na kazi yao , baada ya muda mrefu wakaja kuwapima ndipo walipogundua hao waliowawezesha wamepata maambukizi na wale walioendelea ka kazi yao hawakuwa na maambukizi na hawa ambao waliendelea na kazi yao wakakutwa na extra layer ya protein kwenye seli hai zao .

Wakafikia conclusion kwamba hata exposure ya aina mbali mbali ya virusi vya HIV inapelekea mwili ku addapt na kutafuta njia mbadala ya kujikinga .

Kingine ni kuna watu baadhi miili yao inakuwa na uwezo wa kulimit kiwango cha virusi ndani ya miili yao yaani unakuta anapata maambukizi lakini viral load per cell inakuwa ndogo mno na virusi huwa haviendelei kujizalisha wala kutafuta njia ya kutoka ndani ya cell na kufanya maambukizi zaidi.

Hawa watu wanaitwa HIV controllers na hii haitegemeani na group la damu .
Hawa watu wanaweza kuambukiza wengine ila wao hutokaa usikie wanapata magonjwa mengine yanayotokea baada ya kupata ukimwi kamwe na unaweza ukawapima waka test negative.

Nijuavyi ni kwamba kuna magojwa ya kawaida yasiyoambukiza ambayo kila kundi la damu linaathiriwa zaidi na huo ugojwa mfano group AB magonjwa ya mfumo wa moyo, B kisukari na O ni vidonda vya tumbo.
 
Asante sana kwa somo hili
 
Back
Top Bottom