Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Swali ninalojiuliza n kwa nn hizi ndege zinachukua muda mrefu kutufikia while ziko ready tangu 2010, kuna matengenezo gani ya ziada mpaka zichukue 2years kuwa delivered,

Something is not right here
Labda zinapigwa rangi
 
Ethiopian wame-order ndege mbili hapo kny orodha ya 1-20, tunaamini kuwa ni moja ya shirika la ndege makini ktk bara la afrika hivyo sidhani kama tumebugi. Tupunguze tu wivu wa vyama tu-focus kny maendeleo ya vyama
Shida sio kununua!
Shida iko kwenye bei iliyonunulia hiyo ndege.
 
[QUOTE="Nairobian, post: 20919665, member: 1126realally getting dissapointed with you. Missing through old Nyani Ngabu. As a learned fellow , you are capable of doing your own research to ascertain the information[/QUOTE]

Hii ni awamu ya watu wa Kand ya ziwa,wanapeana mapambio tu na ni dhambi kukosoa au kushauri!!
 
Ninavyojua ndege hazitengenezwi kama magari kisha kutafutiwa mteja, utaratibu unatoa order kisha wanakutengenezea, hiyo uliyotengeneza kwa excel mtu yoyote anaweza kutengeneza.
Kama Rwandair waliinunua kwanini baada ya miezi miwili hawajaichukua ikarudishwa sokoni (kwa majibu ya draft ya excel yako) kwanini sisi tumeambiwa mpaka 2018 ndiyo itafika hapa?
Punguzeni chuki hazisaidii chochote acheni rais apige kazi kama mnachuki nae hamieni hata Burundi au Congo, akija siku yoyote akichukua madaraka mnaemtaka mtarudi, mtakufa kwa chuki zenu.
 
kwani hizo ndege si zilizinduliwa hadharani?Ndege zijazo mliambiwa hadharani zitakuaje na kiasi gani wewe,siku hiyo ulikuwa unaongoza mashambulizi kwa bombardier hukujishughulisha kusikiliza maelezo,
Nenda kwa Mange huko
Kumbe unamjua mange. Haaahahahaha
 
Si usubiri tuone, unajua Raisi wetu mpendwa ana subira. Akikiwasha wanaojifanya wajanja wanamkoma.

Hapa kazi tu
Acha upuuzi wewe mtoto huyo rais wako ndiye aliyepiga dili hili. Kisha anawaita wenzie wapiga deal. Huyu mtu tumefanyakazi nae tunamjua kinoma. Si msafi hivyo mnavyodhani.
 
Hakuna mtalii atakaye panda hiyo ndege maana wengi wanajitambua
Halafu ndege yenyewe ya masafa marefu ni moja, ikibuma ndio imebuma. Hawa watu wanawajua lakini wazungu au? Yaani aache kupata raha za dunia Emirates na Qatar akapande Air Tanzania????? Hizi pesa tungezitia kwenye kuboresha miundombinu ya kilimo na utalii tungepata much kuliko huko.
 
Swali ninalojiuliza n kwa nn hizi ndege zinachukua muda mrefu kutufikia while ziko ready tangu 2010, kuna matengenezo gani ya ziada mpaka zichukue 2years kuwa delivered,

Something is not right here

Duh!!!!

Jisikitikie na usisahau kujiomgeza pia.

Hii Tanzania kweli ina watu ambaonhata sijui la kusema.
 
Wachache wataelewa usanii unaofanywa na hii serikali ya wanyonge. Hahahahaha
Tuweke kumbukumbu huyu mtu tutakuja kumning'iniza katika hizi mahakama anazodai zimekosa watuhumiwa. Tushaweka record ya kivuko cha kifaru. Na sasa tuna terrible teens. Huku nyumba za Serikali hatujasahau.
 
Wewe nae Mange kasema umeshupalia ndege kama una ngoma ya mwanao?
Serikali haina haja kukupa wewe maelekezo,tukutane 2020
Bali maelezo inayatoa kwa nani, angalau kwa mujibu wa utawala bora ambao serikali yenyewe inadai inasimamia?
 

Ona ndege inayokuja kwa mfano usitokwe na povu!
 

Attachments


Ungekuwa nazo husingeandika ulichoniandikia hapa, hata baada ya kutoa urahisi ili nyie wengime mlio manyumb mujiongeze kufikiria...unaleta haya

Hata aiseee nchi yetu hii nyie mnatutia aibu

Aibuuuuuuuuuu

Mpigwe vibao sasa mmezidi.
 
Unataka kutafuniwa umeze eti leo ndio nimetambua uelewa wako ulivyo.

Ungekuwa nazo juu husingeuliza...ha ha ha haaaa


Ishinuyaone....

Hamjui kuna kufikiria nje ya box pia...oooh jisikitikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…