Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

This whole thing regarding those planes is so terribly convoluted...

So much information...you don't know for sure who's telling the truth and who's not!

But oh well...nowadays anybody can be an expert on anything and everything.
I am really getting dissapointed with you. Missing through old Nyani Ngabu. As a learned fellow , you are capable of doing your own research to ascertain the information
 

OMG jisikitikie

Na ungekuwa na akili timamu husingebwabwaja... too low na ukinyaaa wewe mwanamke.
 
I am really getting dissapointed with you. Missing through old Nyani Ngabu. As a learned fellow , you are capable of doing your own research to ascertain the information

I'm not here to score any popularity points with anyone.

I call things as I see them.

If you happen to agree with me, fine and dandy.

If you don't, so be it.

Such is life.
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Jamaa kaeleza vizuri sana. Kama huelewi basi tena
 

KWA TAARIFA YAKO UNAPOTEZA MUDA NA KUDANGANYA UMMA, NDEGE INAYOTENGENEZWA UNAJUA HATA INJINI YAKE SERIKALI BADO HAIJACHAGUA? LAKINI PIA UNAKARIBISHWA KIPINDI NWATAALAM WATAKAPOTEMBELEA KUJUA HATUA ZA UJENZI WA NDEGE HIYO ZIKIENDELEA. ! NAONA UNATOKA POVU TU NA KUSIKITISHA! UNAWAPOTEZEA WATU MUDA WAO BURE NA KWA TAARIFA TU, HAYO YOTE YALIONEKANA HATA KABLA YA KUSAINI MKATABA KWA KUWA KULIKUWA NA USHINDANI WA KIJINGA KATI YA BOEING NA AIRBUS. NA NDEGE UNAYOITAJA ILIONYESHWA IKIWA HAIJANUNULIWA NA IPO PARKING NA SI SEHEMU YA NDEGE MPYA YA TANZANIA. POLE SANA UNASIKITISHA!
 
Asante The Tomorrow people umetoa analysis nzuri. Japo nina mashaka kama wabongo wanaweza kuukubali ukweli huu.
 
Ha ha haaaa

Sasa wewe mpinzani maji inakuwaje unajali yangu kiasi hiki, unataka kunibadilishia ubongo au?

Mna maneno machafu sana na mnatia kinyaaaa, kila kitu kudakia hata la kujiongeza hamna. Kinyaa
Kindururu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…