Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Hii ndiyo faida ya mitandao. Sasa serikali imepata ushahidi, ichunguze, na kama imedanganywa basi ishituke, sijui mkataba unasemaje, na nani ameweka kidole. Itasaidia serikali ikitaka kununua kitu, kupunguza wizi waweke kwenye mitandao, sioni haja ya mikataba kuwa siri, anayefichwa ni nani? ni Watanzania? wenye mali? Watanzania ama Waafrika jamani tumechoka kudanganywa huu umasikini tutauvua lini? Misaada misaada, hizo ni pesa zetu tunazoibiwa kijanja. Asante sana dada, una vyote, urembo na brain. be blessed.
 
Embu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Website si umesha pewaaa
Kila kitu utafutiwee we naniii...???[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Website si umesha pewaaa
Kila kitu utafutiwee we naniii...???[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Ha ha ha haaaaa

Na wewe pia

Kaeni mlivyo na fikra za ndani ya box, mjisikitikie kabisaaaaaaa.

Duh!!!!!!!

Aibu
 
Naona 0019 Ethiopian airlines waeioder kwa maana hiyo nao wameamua kuchukua hiyo terribe teens,je wao wamenunu kwa USD ngapi je ni USD 99 au? Wamepigwa kama sisi
Itabidi tumuulize waziri mkuu wao aliyekuja juzi hapa
 
Wewe unayekijua umenizidi nini mimi!?

Ha ha haaaaa

Ungetumia ka akili kidunchu husinge bwabwaja eeeeeeh, furahia kiingilishi chako hicho

Vipi juzi hukuguswa na yale maana, unaponda sana ya serikali hii na kumuonea wivu Mheshimiwa wetu mpendwa.
Aliyeguswa juzi ni Bashite
 
Sio mimi peke yangu, umejibiwa na Simba. beauty without brain

Hii kali kudakia ya mwingine, sasa ndio nimekujibu tena ulipojisapoti... nilijua imekaa kiaina cha ajabu.

Endelea kusoma uzi uone

Wivu.com
 
Inamaana hao walionunua au ku order zenye LN 10, 12, 13, 14, 18 wakiwemo Waethiopia nao wamekuwa wajinga kwenye masuala ya ndege hata watapeliwe kiasi hicho!!!?

Kama sijaelewa somo naelimishwe zaidi tafadhali.
 
Et

Ethiopia wamenunua kwa nusu bei ($99mil -$100mil). Sisi according to serikali tumenunua kwa actual price tag ($224mil).
Kama sio mvivu, hizi details zote zimeshajidiliwa humu kwa thread, hope ain't talking to KKK though.
 
kwa nini umetumia nguvu nyingi sana kuwaamisha wana jamvi?? mbona hujaweka "clues" zozote?? mleta uzi kaweka na links hapo sidhani kama umetembelea hizo kurasa??
wewe ndio naona kabisa umeshupaza shingo na povu jingi mnoo!!
Nimesoma ulichoandika - I have no comment!
 
Et

Ethiopia wamenunua kwa nusu bei ($99mil -$100mil). Sisi according to serikali tumenunua kwa actual price tag ($224mil).
Kama sio mvivu, hizi details zote zimeshajidiliwa humu kwa thread, hope ain't talking to KKK though.
Hivi wewe unaijua vizuri biashara ya ndege au unadandia tu ,Boeing hawawezi hata kidogo kudisclose bei waliyokubaliana na mteja kimkataba na kuna makubaliano hayo halali kabisa, hili ni swala nyeti la biashara ya ushindani - ila mkataba upo na Serikali kupitia vyombo vyake vyote vilihusika na bei ni nzuri kabisa kwa frame ya ndege iliyochagua. Sielewi kabisa uzi huu kupata hata wachangiaji, it is totally fake thread!
 
Inamaana hao walionunua au ku order zenye LN 10, 12, 13, 14, 18 wakiwemo Waethiopia nao wamekuwa wajinga kwenye masuala ya ndege hata watapeliwe kiasi hicho!!!?

Kama sijaelewa somo naelimishwe zaidi tafadhali.
Wamelipa nusu bei mkuu. Sie tumelipa mazima au tumechikichia cha juu.
 
Muongo tena umeongopa sanaa, biashara ya ndege sio kama ya tume yenu ya uchafuzi ndugu. Hizo terrible teens habari zake zimetangazwa sana duniani.
 
Dah! Sikuwahi kuamini kuwa Sizonje tunae humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…