Walitoa oder ya ndege 6 kwa gharama Za $2.04bKwa Ethiopia kununua huo mtumba kwa kwa bei ya juu siyo rahisi watakuwa wameokota kwa 99 m$
Wewe unayekijua umenizidi nini mimi!?
Ha ha haaaaa
Ungetumia ka akili kidunchu husinge bwabwaja eeeeeeh, furahia kiingilishi chako hicho
Vipi juzi hukuguswa na yale maana, unaponda sana ya serikali hii na kumuonea wivu Mheshimiwa wetu mpendwa.
Watu wanapemda fitina na majungu dah, issue hapo, ni fuel consumption, usage na rekiability. Ethiopian Airline na Japan ni wajinga kuliko sisi? Acheni hizo. Kwanza kampuni ya ndege kubwa kama hiyo haikubali kashfa hata maana hizi ndege zikija huku zinapandwa na watu wote wakiwemo Wamarekani.
Suala siyo kuitumia, viwango vyake, hata kama ni mpya. Hizo ndege 20 za make hiyo zina matatizoEmbu nifupishie kuwa nani ameitumia hiyo ndege na ilitumika kwa muda gani? Na pia hizo tarehe zote vipengele kwa kifupi vinaashiria nini hadi Dec 2016. macho yananiuma nimeshindwa kusoma yote vizuri.
Which are those "much" information?This whole thing regarding those planes is so terribly convoluted...
So much information...you don't know for sure who's telling the truth and who's not!
But oh well...nowadays anybody can be an expert on anything and everything.
Akili yako inafanya kazi Vizuri. Siongezi Mengine - NANYAMAZAUkisoma taarifa mbalimbali ikiwemo Boeing wenyewe ndege hizi zimewekewa price listing ya $224 , lakini bei zake halisi zimepunguzwa ili kuvutia wateja. Katika msingi kama huu kuna uwezekano kuwa Boeing na serikali ya Tanzania walikubaliana bei ya chini tofauti na bei ya Tangazo lakini pia wakaamua wasipublish bei hiyo ya makubaliano ili kulinda heshima ya ndege kibiashara.
Sina hakika sana na hili ila ni mawazo na mtazamo wangu binafsi kuwa kama ukiuza au ukanunua bidhaa kwa nusu bei ya thamani yake kuna uwezekano mkubwa ukashusha heshima ya bidhaa hiyo na pengine kuwapa watu walakini wa usalama wa matumizi yake na hivyo kushindwa kupata abiria, na pengine hata kwa kampuni nzima na hivyo kuathiri hata ndege nyingine za brand nyingine ulizonazo katika fleet.
Katika mtazamo huo hiki kinachotokea sasa hakikutarajiwa na pengine damage yake huenda ikawa sawasawa au zaidi ya kile kampuni/serikali ilichojaribu kukilinda...
Haya ni mawazo na mtazamo wangu tu binafsi, sio facts!