Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Kamwe huwezi kuelewa hiyo mada!! Watu wangu wanangamia kwa kukosa maarifa!! Ndio maana kazi za kitaalam zinafanywa na wataalam lakini hapa kila kitu wewe lazima uingie chaka tu!!

Endelea kusoma ujue duniani tupo watu sio vimtu nyie wapenda udaku.
 
Ndege imenunuliwa kwa 100m USD rejea mazungumzo ya JPM na mkurugenzi wa Masoko boeing aliposema wameshalipa advance ya 10% sawa na 10m USD? Kosa kama hilo haliwezi kufanyika awamu hii ! Hakuna dalali kipindi hichi!
 
Yawezekana tunabweka lakini tunabwekea Kodi zetu,nyie wote mnaishi Ughaibuni kodi hamlipi hatuwezi kuwa na uchungu na matumizi ya hivyo yq serikali

Haya nimekuwekea link hapo

Boeing looks to sell off 787 ‘terrible teens’
Kwahyo hzo terrible teens zpo 11 and not 20?

Let's start with this. According to the link u shared there only 11 terrible teens and as per original post she claim 20 terrible teens.

Bt still u haven't shared the link that post the price those teens were sold to either Ethiopia airline or any airline can u come wth the price for terrible teen that operates with Ethiopian Airline?
 
TUACHE USHABIKI, KAGAME NI MJANJA KULIKO RAIS ANAVYOMCHUKULIA. NA NDIYE RAIS ANAYEMTUMIA KWA MBINU MBALIMBALI.
TUTEGEMEE KUPIGWA SANA NA HUYU JAMAA.
 
hamna ukweli. bombadiers mbili zimetengenezwa na kua delivered chini ya mwaka mmoja ndio ndege ya ku update iwe hadi 2018? serikali walisema wangetaka hiyo dreamliner faster lakini ikabidi wawe kwenye queue ya kutengenezewa. sasa hii hadithi ya ndege zipo ghalani kwa kukosa wanunuziî inatoka wapi? na kama wana update ziwe standard dreamliner hizo kelele za chura za nini?
 
ZITTO AMETAHADHARISHA CCM WANAMBEZA.
NI VYEMA RAIS AJE NA MAJIBU MAANA PESA ZILIZOTUMIKA NI ZA WALIPA KODI.
 

Mkuu:
Ni dhahiri Japan wanazo hizo Terrible Teens lakini wao wanategemea zaidi ukomo wa masafa yao.
Inawezekana ni kwa ajili ya matumizi ya ndani (Domestic Operations) au Jeshini, kama Mexican Airforce wao ukomo wa masafa sio tatizo
 
Mkuu The Tomorrow People

Asante sana kwa uchambuzi mzuri.

Kwa ujumla sioni tatizo kwa serikali kununua moja ya hizo "Terrible Teens" kwasababu zimefanyiwa modification ya kutosha kuweza kufanya kazi iliyokusudiwa ingawa masafa yake yatapungua kwa miles 1000.

Tatizo kubwa hapa ni kununua "Terrible Teens" kwa bei ya "Dreamliner mpya" [yaani $224M badala ya $99M]. Hapo kweli tumepigwa!

md4doctor2000
 
Reactions: 911
Wewe unayekijua umenizidi nini mimi!?

Ha ha haaaaa

Ungetumia ka akili kidunchu husinge bwabwaja eeeeeeh, furahia kiingilishi chako hicho

Vipi juzi hukuguswa na yale maana, unaponda sana ya serikali hii na kumuonea wivu Mheshimiwa wetu mpendwa.
kwani nimekujibu na kingereza? pia sema hujui kiswahili wewe mnyarwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…