Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
- Thread starter
-
- #21
Huyo MNYAMA ndio aliyezungumzwa UFUNUO 13Ushaambiwa wanao fanya haya matendo.
1. Kusujudia miungu wengine yaani sanamu au mnyama.
2. Kuwa na Chapa, kwenye Paji la Uso na Mkononi.
Wewe hapo usichoelewa ninini ?
-Hulijui paji la Uso ?
-Huujui Mkono ?
-Huijui alama ya Chapa kama kovu lililo pona ?
Au unataka kutuaminisha kuwa kila kitu kilichoandikwa kwenye Biblia lazima kwanza tukitafsiri toka kwenye nadharia ya siku ya Jumapili na Jumamosi ?
Sasa hivi unaukana UKATOLIK hadharani? Kwakuwa wanaabudu sanamu ?Aliyekuambia mimi ni Mkatoriki ni nani ?
Wewe unaakili sana tatizo lako ni moja tu la kupenda kukopi na kupesti maandiko ya watu wengine.
Soma na fanya utafiti mwenyewe.
Badala yake umekuwa hakimu wa Wakatoriki.
Saa ya kutubu wanaijua wakatoriki wenyewe kama walivyojua makosa yao.
Wewe tubu zambi zako na ufuate maagizo ya mwalimu wako Yesu Kristo, na sio huyo dada yako Elleni G White atakupotosha tu.
Yesu Kristo ndiye Alfa na Omega achana na habari za Hellena.
Dahh broo maelezo yako marefu sana ninavyo jua Mimi huyo mnyama ukimfuata na wewe utakuwa umepotea maana utakuwa ni mtiifu wa shetani hivyo utafuata vitendo vyake ambavyo ni vya kishetani na alama ya huyo mnyama ni 666Ushaambiwa wanao fanya haya matendo.
1. Kusujudia miungu wengine yaani sanamu au mnyama.
2. Kuwa na Chapa, kwenye Paji la Uso na Mkononi.
Wewe hapo usichoelewa ninini ?
-Hulijui paji la Uso ?
-Huujui Mkono ?
-Huijui alama ya Chapa kama kovu lililo pona ?
Au unataka kutuaminisha kuwa kila kitu kilichoandikwa kwenye Biblia lazima kwanza tukitafsiri toka kwenye nadharia ya siku ya Jumapili na Jumamosi ?
Mnyama ni Ibirisi Shetani.Huyo MNYAMA ndio aliyezungumzwa UFUNUO 13
JE NI UFALME GANI HUO?
MAANA BIBLIA INATUAMBIA MNYAMA NI UFALME AU TAIFA,
UKISHANITAJIA HUYO MNYAMA
ITAKUWA RAHISI KUIJUA ALAMA YAKE
PIA UTANIAMBIA SANAMU YA MNYAMA NI NANI
Upo wrong ,penda kufundishwa na kuwa mnyenyekevu, lasivyo hutajua vitu vingi,Mnyama ni Ibirisi Shetani.
Kama Wakatoriki wanaabudu sanamu ya Bikira Maria kwa mfano hai.
Basi hiyo sanamu ya Bikira Maria sio Bikira Maria halisi.
Bali ni Shetani Ibirisi anajionesha katika picha ya sanamu ili aabudiwe.
Shetani huwa anatumia masanamu na huwa ndani ya hiyo misanamu.
Unapo iabudu au kuisujudia basi hapo hapo unamsujudia Shetani moja kwa moja.
Mnyama kwa tafsiri ya kikamusi ni kiumbe wa Mungu na hakifiki kwenye kutenda makosa.
Ukiuliza maana ya sanamu nyingi ni kuwa zinatumika kwa kuonesha hadhi ya miungu.
Ndio maana Mungu amekataza hata kitendo cha kuzipa heshima sanamu.
Nadhani unazikumbuka sanamu za mungu Baali.
Wabudha, Wahindi, Warastafariani wana masanamu kwenye nyumba zao za Ibada ambazo zinawakilisha miungu yao halisi.
Hivyo mnyama unayezumzia ni miungu mingine ambayo ipo kwenya ufalme wa giza.
Hapo mnyama ni Shetani Ibirisi ambaye anafanya juu chini ili aabudiwe, na kusujudiwa.
Kuna watu wanamsujudia huyo Ibirisi aliyejigeuza mnyama, na wana chapa kwenye paji zao za uso na mkononi.
Hao ndio wanaoonywa hapo kwenye kitabu cha ufunuo.
Angalia wewe unaweza kuwa mmoja wao.
Sawa Endelea kuandika unavyoona inafaaUpo wrong ,penda kufundishwa na kuwa mnyenyekevu, lasivyo hutajua vitu vingi,
Mnyama anayezungumzwa katika ufunuo 13 sio shetani, maana huyo mnyama au taifa anapewa nguvu na JOKA/SHETANI
NA BIBLIA IPO WAZI kuhusu mnyama ni UFALME ,
kwahiyo ndugu nimeona ukikaa chini ukajifunza utapata kitu kuliko kuwa unabisha tu ,
SO NITAKUJA NIKUONESHE NI KWA VIPI BIBLIA INA PROVE MNYAMA WA UFUNUO 13 NI UPAPA NA ALAMA YAKE NI IBADA YA JUMAPILI View attachment 920678
It's about worshipView attachment 920529
UPO VILE VILE KWAN KUNA SEHEMU UMEBATILISHWA ?Kaka AROON, Mbona sijaona sehemu unamzungumzia Papa na hiyo alama ya 666, ule unabii wa VICARIOUS FILI DEI umebatilishwa kama ule wa ujio wa Mwana wa Adam ulivyobatilishwa?
Otorong'ong'o
Mkuu komaa na mada , tendo la kusujudu sio geni kabisaaa,kwahiyo impact yake sio tatizo komaa na alama hizo ahahahahahahaja ahahaahahahahahahajajjajjHivi wewe ina maana huwaoni kabisa wale wenye alama ya kama kovu lililopona kwenye paji la uso na mkononi ambao wanasujudu usiku na mchana
Kama kitabu cha ufunuo kinavyo sema ?
Mbona hilo kovu linaonekana waziwazi kabisa, au hadi nikuwekee picha ya paji la uso wa jilani yangu hapa...!
Tatizo lako wewe unawaza Sabato tu, hutoki nje ya Boksi la fuvu lako.
Elleni amekupumbaza kabisa.
Kwani wewe una Chapa kwenye paji la Uso na mkononi kama kitabu cha Ufunuo kinavyosema hapo ?Mkuu komaa na mada , tendo la kusujudu sio geni kabisaaa,kwahiyo impact yake sio tatizo komaa na alama hizo ahahahahahahaja ahahaahahahahahahajajjajj
Komaa.na mada mezani , acha kutafuta matobo ya kutokea, mimi kazi yangu nikukurudisha kwenye mada , habari sijui wahindi achana nazo hiyo ni elimu iliokuzidi kiwango , komaa chapa na papa ahahahKwani wewe una Chapa kwenye paji la Uso na mkononi kama kitabu cha Ufunuo kinavyosema hapo ?
Angalia usije uka mmoja wao hao wanaomsujudia mnyama
Naona umeshtuka sana, jichunguze
ha...ha...ha...ha...ha. wewe mshahala, chukua tahadhali mapema, huenda unasujudia yule mnyama.
ha...ha...ha...ha....ha
Unapo sujudu unaoma nini mbele yako ?
ni Mwezi na Nyota pekee ?
Pole sanaKomaa.na mada mezani , acha kutafuta matobo ya kutokea, mimi kazi yangu nikukurudisha kwenye mada , habari sijui wahindi achana nazo hiyo ni elimu iliokuzidi kiwango , komaa chapa na papa ahahah
Asante sana , haya mjibu mtoa mada kuwa Papa sio alietajwa kama kweli unajiamini na taaluma unayo, kuhusu sisi waislamu fungua uzi nitag nitafika huko kujibu hoja zakoPole sana
Huyo anashindana na Roman Cathorik.Asante sana , haya mjibu mtoa mada kuwa Papa sio alietajwa kama kweli unajiamini na taaluma unayo, kuhusu sisi waislamu fungua uzi nitag nitafika huko kujibu hoja zako
We jamaa umeamua kuwa mbishi tu ila jamaa ameandika ukwel mtuUshaambiwa wanao fanya haya matendo.
1. Kusujudia miungu wengine yaani sanamu au mnyama.
2. Kuwa na Chapa, kwenye Paji la Uso na Mkononi.
Wewe hapo usichoelewa ninini ?
-Hulijui paji la Uso ?
-Huujui Mkono ?
-Huijui alama ya Chapa kama kovu lililo pona ?
Au unataka kutuaminisha kuwa kila kitu kilichoandikwa kwenye Biblia lazima kwanza tukitafsiri toka kwenye nadharia ya siku ya Jumapili na Jumamosi ?
Kama wewe huna elimu ya kutosha kuhusu usabato na ukatoliki, wacha tuwaache wenye elimu ya kutosha waje watupe faida, haifai kuchangia jambo ambalo ujuzi hauna, kuwa mtazamaji ndugu yangu kama mimi sio dhambi ahahhaahhaahahahah AhahhahahaahaaahahHuyo anashindana na Roman Cathorik.
Yeye Ni Msabato.
Ni vita ya Wasabato wakiongozwa na Ellen G White dhidi ya Wakatoriki wakiongozwa na Papa.
Mimi sio Msabato wala Mkatoriki.
Mimi ni Mkristo, nafuata mafundisho ya Yesu Kristo pekee yake.
Sina elimu ya kutosha kuhusu Ukatoriki wala Usabato, hivyo
Kwenye hiyo vita mimi simo hata wewe unaweza kuchangia kama utaona inafaa.
ha...ha...ha...ha...ha
Karibu kwenye mada.
Acha uongo we jamaaa, mafundisho ya Yesu unayofuata ni yapi sasa, ebu tuwekee hapaHuyo anashindana na Roman Cathorik.
Yeye Ni Msabato.
Ni vita ya Wasabato wakiongozwa na Ellen G White dhidi ya Wakatoriki wakiongozwa na Papa.
Mimi sio Msabato wala Mkatoriki.
Mimi ni Mkristo, nafuata mafundisho ya Yesu Kristo pekee yake.
Sina elimu ya kutosha kuhusu Ukatoriki wala Usabato, hivyo
Kwenye hiyo vita mimi simo hata wewe unaweza kuchangia kama utaona inafaa.
ha...ha...ha...ha...ha
Karibu kwenye mada.
Uongo gani sasa,Acha uongo we jamaaa, mafundisho ya Yesu unayofuata ni yapi sasa, ebu tuwekee hapa