Ukweli kuhusu ajali ya Chenge!


Ajali haziwapati wanachadema tu...hivyo si sahihi suala hili kujadiliwa kisiasa. Hata wabunge wa vyama vingine wana wajibu wa kushupalia mabadiliko ya sheria hii.
 

Tupe facts sio theories, kwani Chenge siku hiyo alikuwa na Shangingi au Hilux Pick up?

 

Kwahiyo hata kiasi cha pesa kilikuwa kinajulikana cha fain yake ?

Na kingine kwahiyo Baada ya kumgonga kesi ya Mkwe chenge na Chenge ikawa imekwisha wakalipana kwa kesi ile ya mauaji?

Tanzania kweli kama huna pesa utaishi kwa taabu na mwenye pesa siyo mwenzio
 

sidhani kama wewe ni mwanadamu wa kawaida, huenda ukawa mfuasi wa al-shabaab..
 
" Mke wa Mheshimiwa mambo hadharani ! (Kifua!)
 
Pili PilI msio kula ina wawashia nini? wafiwa wamekaa kimya, nyie mna bwabwaja tuu!
 
Kumbe ndio maana alitamba kwamba yeye ni rais wa Afrika? Kweli ni mkali vijisenti!!!
 


imetulia
 
Tuambie huyo aliyefanya hiyo ajali!! Halafu dereva wa bajaji mpaka leo yuko wapi??
Ajali kubwa kama ile ina maana dereva hakuvunjika hata kidole??
Inawezekana nae alikufa lakini maiti yake ilihitajika zaidi kuliko ya wale wasichana!! si unajua tena imani za kule kwa wakina vi-jisenti na uchaguzi ulikuwa unakaribia?! (ni hisia tu yeye mwenyewe anaweza kututhibitishia kuwa siyo!)
 
masikini weeee.......

Mtu ajionyeshavyo mtu watanzania, mtu wetu mtu watanzania,
mtu alivyo mtu alivyojionyesha, mtu alivyoonekana ndivyo alivyojioyesha
mtu akiuza karanga, atafungaje kwenye boksi la samaki
mtu ni maneno yake, mtu kama alivyojitokeza mwenyewe

mtu ni utu pia, mtu ni uhai wake,
mtu kama hajafa, mtu ni alivyojitambulisha mwenyewe,
mtu kama alivyojitambulisha mwenyewe, mtu alivyojitokeza ndie,
mtu ni maneno yake, mtu kama alivyojitokeza mwenyewe.

Duh kazi sana;:A S-confused1: nilikuwa najaribu kama bado na kumbuka mashairi hilo lilikuwa somo la lazima sekondari wakati wetu, tokea wakati ule sijawai kuandika shairi hata moja, nakumbuka principles lakini sina uzoefu na utaalamu zaidi ya ile tuliosoma sekondari 1986.
 
....umeona eeeeh? .....
and
Yaani mwenye kesi alikuwa mke wa chenge, ila chenge akaamua kuichukua kumwokoa mkewe kwa vile alikuwa anamfuatilia, hilo mkuu lina ukweli au porojo?????????????
 
Yaani mwenye kesi alikuwa mke wa chenge, ila chenge akaamua kuichukua kumwokoa mkewe kwa vile alikuwa anamfuatilia, hilo mkuu lina ukweli au porojo?????????????

Mke wa Chenge alikuwa Dubai shopping ya duka lake, so ni Chenge mwenyewe aliyewachengua wale mabinti na sababu ni kwamba alitaka akawatafune na wao walishamchuna na kusepa. Habari ndio hiyo.
 
Ingekuwa ni murder case endapo ingeendelea kwa mkewe na sio traffic case
 
Halafu huyu mzee utulivu mdogo, juzi juzi tu nimemwona sehemu na 'kimodo' flan:israel:
 
Case inazidi kuchanganya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…