Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Sawasawa, isitoshe ameshakuwa Afisa ugani muda mrefu na kuwanufaisha wakulima. Kwanini Leo Unyarwanda wake ujadiliwe kisa kawa mwakilishi wa wananchi.Tulianza kuchunguzana hivo Bunge letu litabaki tupu, Idara zingine za watumishi zitakosa watu kabisa......kama mtu sio tishio kwa Usalama wa nchi tumuache akae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesema vyemaTulianza kuchunguzana hivo Bunge letu litabaki tupu, Idara zingine za watumishi zitakosa watu kabisa......kama mtu sio tishio kwa Usalama wa nchi tumuache akae
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau na roho mbaya piaHii tabia ya wanyarwanda wahamiaji kujiita wahaya mkome.
Huyu Papian ni mnyarwanda kabisa, ushahidi niliambiwa na nduguye ambaye ni rafiki yangu.
Muangalie vizuri tu wala sura yake haijifichi.
Mkuu baba mwenye nyumba anatuhuma hizo, wakiendeleza Hilo zoezi ni unyanyasaji tu
Tukianza kuchunguzana hivo Bunge letu litabaki tupu, Idara zingine za watumishi za umma zitakosa watu kabisa......kama mtu sio tishio kwa Usalama wa nchi tumuache akae
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ndio umeandika nini? Nilitarajia ungeweka vielelezo kuonesha kuwa jamaa ni mtz matokeo yake umeweka utetezi wenye mashaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sura sio kigezo cha kusema ni mnyarwanda jamii ya watu wa kagera hasa wanyambo wahangaza na wasubi ni sawa na jamii ya watu wa Rwanda na BurundiHii tabia ya wanyarwanda wahamiaji kujiita wahaya mkome.
Huyu Papian ni mnyarwanda kabisa, ushahidi niliambiwa na nduguye ambaye ni rafiki yangu.
Muangalie vizuri tu wala sura yake haijifichi.
Iko haja!Habari wadau wa JF siasa.
Kumekuwa na vuguvugu la muda mrefu wilayani Kiteto mkoa wa Manyara kuwa Mbunge wao sio raia wa nchi hii na ana asili kutoka Rwanda.
Vuguvugu hili lilibuka tangu siku nyingi Mbunge huyu akiwa kada mtiifu wa CCM akihangaikia ubunge huku akiwa AFISA KILIMO wa kata moja wilayani kiteto.
Kifupi Mheshimiwa Emmanuel Papian ni mtu wa watu mwenye kupenda watu na hujichanganya sana. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kagera kutoka ktk jamii ya wasubi na alikuja kiteto akiwa kijana mdogo akiwa mtumishi wa Umma. Baada ya kuwa na nyota ya kupendwa tena mbali na asili yake ya huko Magharibi mwa nchi alijitosa ktk siasa za kiteto na anaipenda kiteto kuliko chochote.
Wenye chuki naye wanadai sio raia bali alitokana na kambi za wakimbizi huko kagera akiwa miongoni mwa walionufaika na huruma ya Mwl Nyerere ya kuwasaidia na kuwapa uraia watu wa nchi jirani wataabikao na misukosuko ya kisiasa huko kwao.
Hivyo wenye chuki na Mheshimiwa Papian, Munge wa Kiteto CCM, wapuuzwe .
Mabingwa wa kujipenyeza haoHii tabia ya wanyarwanda wahamiaji kujiita wahaya mkome.
Huyu Papian ni mnyarwanda kabisa, ushahidi niliambiwa na nduguye ambaye ni rafiki yangu.
Muangalie vizuri tu wala sura yake haijifichi.
Hizi ni akili mgando Africa kila siku nasema asili ya mtu mweusi ni roho mbaya sasa hata akiwa anaasili ya Rwanda Ila kazaliwa Tz kunaubaya gani?Angalia Marekani Anorld Schwarzenegger anakua Governor ile hali kazaliwa Austria lakini Africa kelele zinakua nyingi mnoHabari wadau wa JF siasa.
Kumekuwa na vuguvugu la muda mrefu wilayani Kiteto mkoa wa Manyara kuwa Mbunge wao sio raia wa nchi hii na ana asili kutoka Rwanda.
Vuguvugu hili lilibuka tangu siku nyingi Mbunge huyu akiwa kada mtiifu wa CCM akihangaikia ubunge huku akiwa AFISA KILIMO wa kata moja wilayani kiteto.
Kifupi Mheshimiwa Emmanuel Papian ni mtu wa watu mwenye kupenda watu na hujichanganya sana. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kagera kutoka ktk jamii ya wasubi na alikuja kiteto akiwa kijana mdogo akiwa mtumishi wa Umma. Baada ya kuwa na nyota ya kupendwa tena mbali na asili yake ya huko Magharibi mwa nchi alijitosa ktk siasa za kiteto na anaipenda kiteto kuliko chochote.
Wenye chuki naye wanadai sio raia bali alitokana na kambi za wakimbizi huko kagera akiwa miongoni mwa walionufaika na huruma ya Mwl Nyerere ya kuwasaidia na kuwapa uraia watu wa nchi jirani wataabikao na misukosuko ya kisiasa huko kwao.
Hivyo wenye chuki na Mheshimiwa Papian, Munge wa Kiteto CCM, wapuuzwe .
Wewe pita hukoooo, sio lazima ukomenti.Sasa hapo ndio umeandika nini? Nilitarajia ungeweka vielelezo kuonesha kuwa jamaa ni mtz matokeo yake umeweka utetezi wenye mashaka.
Sent using Jamii Forums mobile app