Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,136
- 6,432
huyo msubi tu, sura walagaleo. Mimi pia msubi wa biharamulo lakini naweza ongea kisukuma, kiha, kisubi na kihaya vzr.
sasa leteni ubaguzi wenu wa kipumbavu kama mtaweza, mlipaswa kubagua 1960's lakini kufikia 2030 kuna chotara wa kichina watakuwa walimu, polisi, wakulima, wafugaji nk wa nchi hii.
hapa kijiji ninachoishi mkoani shinyanga kuna madogo wawili wa kichina wanaongea kisukuma vzr na wapo std 3 Na 6 hawa utawatengaje wakati mama yao ni mnyantuzu wa Meatu na baba yao mchina?
hata dada mmoja wapo wa "malaika mkuu mtarajiwa" amezaa Na mchina ndo maana anawakubali sana shemela zake kina Zee Njee Lee.