Ukweli juu ya Uraia wa Emmanuel Papian, Mbunge wa Kiteto

Hii jamii imejipenyeza sana nchini..na ni wajanja linapokuja suala la uraia,wanapenda watambulike ni wabongo huku mioyo yao iko kwa RPF

hawana tofauti na wahindi walivyo kwenye uchumi;wao wamejikita kwa utumishi na utawala

wapo kama hawapo vile







Sent using Jamii Forums mobile app
Ufinyu wa akili.kama mtu ametoka nje na anafanya kazi ya kukuletea maendeleo kuna ubaya gani?
 
WAHAMIAJI KABLA YA UHURU MPAKA KABLA YA KUZALIWA MASIHI

Asili yangu mm naambiwa ni Misri kwa Farao, na mke wangu yeye ni South. Sasa akirud South na mm Misri tunapotezana. Bora tu hii kitu waiache
 
Habari wadau wa JF siasa.

Kumekuwa na vuguvugu la muda mrefu wilayani Kiteto mkoa wa Manyara kuwa Mbunge wao sio raia wa nchi hii na ana asili kutoka Rwanda.

Vuguvugu hili lilibuka tangu siku nyingi Mbunge huyu akiwa kada mtiifu wa CCM akihangaikia ubunge huku akiwa AFISA KILIMO wa kata moja wilayani kiteto.

Kifupi Mheshimiwa Emmanuel Papian ni mtu wa watu mwenye kupenda watu na hujichanganya sana. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kagera kutoka ktk jamii ya wasubi na alikuja kiteto akiwa kijana mdogo akiwa mtumishi wa Umma. Baada ya kuwa na nyota ya kupendwa tena mbali na asili yake ya huko Magharibi mwa nchi alijitosa ktk siasa za kiteto na anaipenda kiteto kuliko chochote.

Wenye chuki naye wanadai sio raia bali alitokana na kambi za wakimbizi huko kagera akiwa miongoni mwa walionufaika na huruma ya Mwl Nyerere ya kuwasaidia na kuwapa uraia watu wa nchi jirani wataabikao na misukosuko ya kisiasa huko kwao.

Hivyo wenye chuki na Mheshimiwa Papian, Munge wa Kiteto CCM, wapuuzwe .
makaburi ya wazazi wake yako wapi ?
 
Papian hata kimwonekano tu ni Mtutsi pure. Jamaa alishika hela mapema, na kwa kuwa kwa wabongo wengi ukiwa na hela wanakugeuza mfalme, basi Papian amepata ubunge.
 
Sawasawa, isitoshe ameshakuwa Afisa ugani muda mrefu na kuwanufaisha wakulima. Kwanini Leo Unyarwanda wake ujadiliwe kisa kawa mwakilishi wa wananchi.

Achungunzwe kama wengine waliotiliwa Mashaka au kuzushiwa kuwa sio raia we Tanzy mfano Jenerali Ulimwengu, Nondo, Zitto, Aidan Eyakuze n.k.
 
Hizi ni akili mgando Africa kila siku nasema asili ya mtu mweusi ni roho mbaya sasa hata akiwa anaasili ya Rwanda Ila kazaliwa Tz kunaubaya gani?Angalia Marekani Anorld Schwarzenegger anakua Governor ile hali kazaliwa Austria lakini Africa kelele zinakua nyingi mno

Kweli kabisa mkuu, hasa kwenye awamu hii ya uongozi, ukiikosoa serkali na mkulu, uhamiaji wanakuvamia kuchunguza asili yako ya uraia.
 
Hii tabia ya wanyarwanda wahamiaji kujiita wahaya mkome.
Huyu Papian ni mnyarwanda kabisa, ushahidi niliambiwa na nduguye ambaye ni rafiki yangu.
Muangalie vizuri tu wala sura yake haijifichi.
Jamaa kakwambia ni mnyarwanda kweli kwa asili, na wazazi wake walipewa uraia wa Tanzania kipindi cha Mwalimu nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Two donkeys
FB_IMG_1542994952789.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom