Ukweli juu ya Uraia wa Emmanuel Papian, Mbunge wa Kiteto

Jambo baya zaidi kuhusu huyu Papian anawadharau sana Watanzania na ndiyo maana hawajiriwi kwenye biashara zake. Jambo na la kutia moyo ameshanongona kuwa bora niwaachie wenyewe nchi yao isije ikanitokea puani .....
Kumbe ni mnyarwanda kweliee
 
Huyo ni mnyarwanda siku akifanya yake akimbia. Mtamshangaa kwa ujinga wenu badala ya kuzuia leo mnasubiri aharibu kwanza kama yule ofisa was jeshi.
 
Huyo ni mnyarwanda siku akifanya yake akimbia. Mtamshangaa kwa ujinga wenu badala ya kuzuia leo mnasubiri aharibu kwanza kama yule ofisa was jeshi.
Hivi yule wa jeshi unadhani alikimbia? Alimalizwa baada ya kugundulika na habari feki ikatengenezwa katoweka. Sitaki kufunguka mno.
 
hahaha hii nchi bhn ukiwa ccm hata kama ww sio Raia poa 2 ila ukionekana kukosoa serikali Uhamiaji mara moja wamekuja kuchunguza uraia wako eg Nondo na kabendera shame
Ni kwa kuwa matendo yao yana viashiria vya kisaliti saliti. Baba wa Kabendera inadaiwa alikuwa interahamwe wakati wa genocide against the Tutsi. Sishangai.
 
Back
Top Bottom