Ukweli juu ya Uraia wa Emmanuel Papian, Mbunge wa Kiteto

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,682
2,000
Habari wadau wa JF siasa.

Kumekuwa na vuguvugu la muda mrefu wilayani Kiteto mkoa wa Manyara kuwa Mbunge wao sio raia wa nchi hii na ana asili kutoka Rwanda.

Vuguvugu hili lilibuka tangu siku nyingi Mbunge huyu akiwa kada mtiifu wa CCM akihangaikia ubunge huku akiwa AFISA KILIMO wa kata moja wilayani kiteto.

Kifupi Mheshimiwa Emmanuel Papian ni mtu wa watu mwenye kupenda watu na hujichanganya sana. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kagera kutoka ktk jamii ya wasubi na alikuja kiteto akiwa kijana mdogo akiwa mtumishi wa Umma. Baada ya kuwa na nyota ya kupendwa tena mbali na asili yake ya huko Magharibi mwa nchi alijitosa ktk siasa za kiteto na anaipenda kiteto kuliko chochote.

Wenye chuki naye wanadai sio raia bali alitokana na kambi za wakimbizi huko kagera akiwa miongoni mwa walionufaika na huruma ya Mwl Nyerere ya kuwasaidia na kuwapa uraia watu wa nchi jirani wataabikao na misukosuko ya kisiasa huko kwao.

Hivyo wenye chuki na Mheshimiwa Papian, Mbunge wa Kiteto CCM, wapuuzwe .
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,682
2,000
Tulianza kuchunguzana hivo Bunge letu litabaki tupu, Idara zingine za watumishi zitakosa watu kabisa......kama mtu sio tishio kwa Usalama wa nchi tumuache akae

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa, isitoshe ameshakuwa Afisa ugani muda mrefu na kuwanufaisha wakulima. Kwanini Leo Unyarwanda wake ujadiliwe kisa kawa mwakilishi wa wananchi.
 
habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
Tulianza kuchunguzana hivo Bunge letu litabaki tupu, Idara zingine za watumishi zitakosa watu kabisa......kama mtu sio tishio kwa Usalama wa nchi tumuache akae

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesema vyema

Si nasikia hata malaika mtarajiwa nae uraia wake wa mashaka

Ndio maana nasema awamu hii hili swala wangeliacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,036
2,000
Habari wadau wa JF siasa.

Kumekuwa na vuguvugu la muda mrefu wilayani Kiteto mkoa wa Manyara kuwa Mbunge wao sio raia wa nchi hii na ana asili kutoka Rwanda.

Vuguvugu hili lilibuka tangu siku nyingi Mbunge huyu akiwa kada mtiifu wa CCM akihangaikia ubunge huku akiwa AFISA KILIMO wa kata moja wilayani kiteto.

Kifupi Mheshimiwa Emmanuel Papian ni mtu wa watu mwenye kupenda watu na hujichanganya sana. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kagera kutoka ktk jamii ya wasubi na alikuja kiteto akiwa kijana mdogo akiwa mtumishi wa Umma. Baada ya kuwa na nyota ya kupendwa tena mbali na asili yake ya huko Magharibi mwa nchi alijitosa ktk siasa za kiteto na anaipenda kiteto kuliko chochote.

Wenye chuki naye wanadai sio raia bali alitokana na kambi za wakimbizi huko kagera akiwa miongoni mwa walionufaika na huruma ya Mwl Nyerere ya kuwasaidia na kuwapa uraia watu wa nchi jirani wataabikao na misukosuko ya kisiasa huko kwao.

Hivyo wenye chuki na Mheshimiwa Papian, Munge wa Kiteto CCM, wapuuzwe .
Iko haja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Golobeja

Member
Aug 20, 2017
90
125

Hizi ni akili mgando Africa kila siku nasema asili ya mtu mweusi ni roho mbaya sasa hata akiwa anaasili ya Rwanda Ila kazaliwa Tz kunaubaya gani?Angalia Marekani Anorld Schwarzenegger anakua Governor ile hali kazaliwa Austria lakini Africa kelele zinakua nyingi mno
 
MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
852
1,000
Huyo jamaa kiukweli achunguzwe, ni Rwandan and it's possible he's working with his mother country Rwanda
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom