Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,231
- 138,745
wanaposema badala yake zinunue vitanda...huoni kuwa ni usaniiAmeokoa hela ambazo ilibidi zikwopwe kutekeleza Sherehe hizo.
asante mkuuZuzu at its best
asante mkuu
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Umeua mkuuNampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Hivi unaelewa unachoongea kamanda.?? Unapo ondoa fixed cost kwenye expense achedule yako ambayo kwenye business plan uliiweka, ina maana gani? Its basically a saving no matter what. Do not compare it with the Cashflow. Umeelewa? ????? Nenda shule kwanza kabla hujaja kuzungumzia masuala kama hayaNampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
wanaposema badala yake zinunue vitanda...huoni kuwa ni usanii
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Hivi unaelewa unachoongea kamanda.?? Unapo ondoa fixed cost kwenye expense achedule yako ambayo kwenye business plan uliiweka, ina maana gani? Its basically a saving no matter what. Do not compare it with the Cashflow. Umeelewa? ????? Nenda shule kwanza kabla hujaja kuzungumzia masuala kama haya