Ukweli: Hela zilizookolewa ni "Hela Hewa"

Sunzu in Action..!! Unaandika kama mtoto mdogo.
 
Namuunga mkono Raisi kwa kufuta hizi sherehe,
Ni unafiki kukopa hela za kuadhimisha siku ya ukimwi wakati wagonjwa wa ukimwi wanalazimika kuchagua kati ya kununua chakula au kununua dawa za kutibu magonjwa yanayosababishwa na ukimwi. Umaskini unaongeza stigma kwa wagonjwa. Ni aibu kupokea misaada toka kwa wafadhili wakati uwezo wa kujitegemea tunao.
kama hiyo haitoshi kuna waliokuwa wanatumia hiyo mikopo/misaada ya sherehe ku piga dili!

Hata sherehe ya uhuru ilivyo hairishwa ni sawa tu, ni kejeli kubwa kwa waasisi na wapiganaji wa uhuru kusema tunawaenzi kwa kupumzika majumbani, kucheza ngoma na kukagua gwaride wakati nchi ipo kwenye madudu ya kunuka kutisha.

Hongera sana Magufuli nakupongeza, na asante mtoa mada kwa kuyataja haya, watanzania tumsapoti Magufuli kwa kumpongeza anapofanya mazuri na kuhoji pale tunapohisi panafaa kuhojiwa. Kupigia makofi kila kitu hakumsaidii yeye wala sisi
 
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono

Akina "ulipo tupo", 4U Movement, Team Lowassa. Kila kitu anachofanya rais wetu ninyi mnapinga tu na kutafuta vijisababu visivyokuwa na maana. Kwa kasi hii ya Dk. Magufuli, UKAWA na vyama vingine vyote vya upinzani mjiandae kisaikolojia kwani sasa CCM ndio hivyo tena, kuing'oa madarakani ni ndoto za mchana. Kama MUNGU atamjalia Dk. Magufuli afya na uzima, miaka 10 ijayo vyama vyenu vitakuwa vimefutika kwenye historia ya siasa za Tanzania. "Majipu yote Dk. Magufuli atakuwa ameyatumbua, sijui ninyi mtafanya nini; maana mtakuwa hamna ajenda yoyote ya kusimamia. Mtaisoma namba. #Hapa Kazi Tu
 
Hivi unaelewa unachoongea kamanda.?? Unapo ondoa fixed cost kwenye expense achedule yako ambayo kwenye business plan uliiweka, ina maana gani? Its basically a saving no matter what. Do not compare it with the Cashflow. Umeelewa? ????? Nenda shule kwanza kabla hujaja kuzungumzia masuala kama haya

Sasa na wewe ndo umeandika nini hiki??
Mambo ya wahasibu tuachie wahasibu,
Ulichoandika ni utoto tu wa kukariri misamiati ya kihasibu.
Rais wenu hakuna alichookoa kwa sababu azina haina kitu basi.
 
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono

Unahitaji shule kubwa kaka.

1. Kama hazima kumekauka unahitaji kubana matumizi yasiyo ya lazima.

2. Endapo shughuli hizi zitafanyika bila pesa (serikali inaweza kukopa ndani na nje) inaongeza deni la taifa ambalo hadi sasa kubebeka kwake ni tete.

3. Katika uchumi, ukiokoa hasara, ambayo ni wazi utaipata (certain and probable loss), umeokoa fedha au kipato.
Wallahi, kwani waonekana mzito kuelewa sherehe hizi zikiwafanywa, deni la taifa lingeozeka kwa bilioni mia kadhaa.
 
Akina "ulipo tupo", 4U Movement, Team Lowassa. Kila kitu anachofanya rais wetu ninyi mnapinga tu na kutafuta vijisababu visivyokuwa na maana. Kwa kasi hii ya Dk. Magufuli, UKAWA na vyama vingine vyote vya upinzani mjiandae kisaikolojia kwani sasa CCM ndio hivyo tena, kuing'oa madarakani ni ndoto za mchana. Kama MUNGU atamjalia Dk. Magufuli afya na uzima, miaka 10 ijayo vyama vyenu vitakuwa vimefutika kwenye historia ya siasa za Tanzania. "Majipu yote Dk. Magufuli atakuwa ameyatumbua, sijui ninyi mtafanya nini; maana mtakuwa hamna ajenda yoyote ya kusimamia. Mtaisoma namba. #Hapa Kazi Tu

Du!
Kweli wewe ni mtoto wa 'Gamba'.
 
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono

umeandika ukweli sana ! kiukweli hela hamna , unaambiwa hata wanaotukopesha wamechoka .
 
Nyie huwa hamna shukrani na ni walalamikaji by default ! Hamna jambo jema wala hesabu zenu hazina utukufu,sasa tangulieni mbele za haki mrudi mkiwa uchi tujue mna machungu
 
Back
Top Bottom