Ukweli: Hela zilizookolewa ni "Hela Hewa"

Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge, kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI na siku ya Uhuru. Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo. Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje. Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko, huwezi sema umeokoa mamilioni. Mengine yanayoendelea nayaunga mkono

Potelea mbali.....angalau katuaminisha kuwa kuna hela imeokolewa.....ila siyo yale ya daa....gama
 
wanaposema badala yake zinunue vitanda...huoni kuwa ni usanii

Kamanda huna tena credibility humu.toka uape zitto hatoingia bungeni na ukamuunga mkono nyumbu mwenzio alieapa kutembea kwa miguu toka kibaha,huaminiki tena
 
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge, kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI na siku ya Uhuru. Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo. Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje. Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko, huwezi sema umeokoa mamilioni. Mengine yanayoendelea nayaunga mkono

Bro umesahau kufahamu kwamba ungeweza bado kukopa hela ukajiendea huko club au disco. Halikadhalika kama serikali haina fedha bado ingeweza kukopa fedha na kuadhimisha sherehe za uhuru. Lakini kwa kufanya hivyo ingeongeza deni lake. Kwa kutokopa imeokoa fedha ambazo zingeongeza deni lake.
 
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge, kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI na siku ya Uhuru. Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo. Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje. Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko, huwezi sema umeokoa mamilioni. Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
OKW BOBAN SUNZU, Sasa huu mwingine utakuwa ni wivu. Hata kama sisi ni UKAWA ifike mahali tumwunge mkono huyu jamaa, maana yote anayofanya yamemtofautisha sana na ccm, kwa ufupi huyu ndugu ni mwana-UKAWA mwenzetu tumsaidieni. Kusema eti ameokoa fedha hewa mimi sikubaliani na wewe hata kidogo, kwa ufupi jamaa ameokoa mamilioni ambayo yalikuwa yanaenda kupigwa na mataahira ya ccm. Unafikri angekuwa Mkw.ere hata kama hazina imekauka angefuta hayo maadhimisho? Hapo hata ingekuwa kwenda kutembeza bakuli angeenda mradi hela zije zipigwe tu!!

Tumwombe tu aisiishie hapo awalete mbele ya hadhira wahusika wote wa ukwapuaji (humo hata mkwere haponi, humo hata Che Nkapa haponi) wawajibishwe tu maana wamepeleka mwana-UKAWA ikulu wao wakifikri ni mwana-ccm mwenzao. Tukubaliane kwamba jamaa kaokoa mabilioni (nayasubiri na ya Mwenge wa ccm).
 
Back
Top Bottom