ABDISTUNNA
Member
- Dec 3, 2013
- 82
- 9
ukwel ni kwamba serikali haina hela ndo maana anabana
Na mvimbe mpasuke....TINGA TINGA LIKO UWANJANI
Sasa na wewe ndo umeandika nini hiki??
Mambo ya wahasibu tuachie wahasibu,
Ulichoandika ni utoto tu wa kukariri misamiati ya kihasibu.
Rais wenu hakuna alichookoa kwa sababu azina haina kitu basi.
Na mvimbe mpasuke....TINGA TINGA LIKO UWANJANI
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Umesomeka mkuu.
Ila kuna kitu unakusahau, kama Magufuli angekuwa na nia ya kufanya hiyo sherehe serikali ingeweza kukopa ili sherehe ifanyike, na huo mkopo ungelipwa na riba juu.
Ni mara ngapi serikali imekopa kwa matumizi yasiyo ya lazima? Hope wewe unajua ukweli kwa sababu unafanya kazi kwenye ofisi yenye access na hizi information.
Je, hapo hajaokoa?
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge,Kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI,na siku ya Uhuru...Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela...Ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo.Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje.Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko,huwezi sema umeokoa mamilioni.Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Mleta mada soma ulichoandika ni pumba za hali ya juu. Hivi mtu kama ulikuwa na safari ya kutoka mwenge kwenda posta ambayo nauli sh 500 lakini hukuwa nayo ila ungeweza hata kuazima ukaamua kuikacha safari hapo hujaokoa ile 500 yako??
Kweli kuna wengi ambao wanatumia vichwa kufugia nywele!!
Zuzu at its best
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge, kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI na siku ya Uhuru. Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo. Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje. Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko, huwezi sema umeokoa mamilioni. Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Hivi huwa mnaandika kujifurahisha au.Kwani hizo sherehe zingefanyika bila fedha.Ridiculous thoughts.
Wenda hazina pesa hakuna, wenda anafuta kwa sababu anajua pesa hamna maana asingefuta asingepata pesa ya kutoa!!! Duuuhh kweli hii nchi ngumu hii
Hivi unaelewa unachoongea kamanda.?? Unapo ondoa fixed cost kwenye expense achedule yako ambayo kwenye business plan uliiweka, ina maana gani? Its basically a saving no matter what. Do not compare it with the Cashflow. Umeelewa? ????? Nenda shule kwanza kabla hujaja kuzungumzia masuala kama haya