Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Serikali imeshatoa ufafanuzi juu ya hali ya hazina, ila nyumbu bado hamuelewi...
Nyumbu nambari moja ni weww,
Serikali imeshatoa ufafanuzi juu ya hali ya hazina, ila nyumbu bado hamuelewi...
Zamani kulikuwa na kamsemo MJINGA na MPUMBAVU. Katika hao yupo ambaye akielekezwa anaelewa, na mwingine anajifanya anajua wakati ni juha wa kutupwa. Huyo juha tuliambiwa tuachane naye.
Na mvimbe mpasuke....TINGA TINGA LIKO UWANJANI
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge, kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI na siku ya Uhuru. Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo. Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje. Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko, huwezi sema umeokoa mamilioni. Mengine yanayoendelea nayaunga mkono
Acha kudhalilisha ukawa wenzako we,wa2 watawaona c waaminifu na ni wa2 wa kupenda madaraka,penye sifa pape c unakashifu2
are u sereous. kwani hivyo vitanda havikununuliwa? vilinunuliwa kisanii?. mnanifanya niamini wakimbizi nchi hii ni wengi kuliko wazawa.[/QUO
Sereous = serious
Serikali imeshatoa ufafanuzi juu ya hali ya hazina, ila nyumbu bado hamuelewi...
Mleta mada ssoma ulichoandika ni pumba za hali ya juu. Hivi mtu kama ulikuwa na safari ya kutoka mwenge kwenda posta ambayo nauli sh 500 lakini hukuwa nayo ila ungeweza hata kuazima ukaamua kuikacha safari hapo hujaokoa ile 500 yako??
Kweli kuna wengi ambao wanatumia vichwa kufugia nywele!!
Enzi za JK hela kama hakuna alikuwa anakopa,so ilikuwa ni lazima jambo lifanyike hata kwa mkopo.Kwa kubana ndan huyu jamaa anaakili sana.JK kama pesa hakuna anakopa huyu anajua kutafuta na kubana hapahapa,fikiri we we!
Nimeahirisha kwenda kanisani leo kwa vile najisikia aibu kubaki kitini wakati watu wengine wanakwenda kutoa sadaka kwani mie sina sadaka leo.Hata hivyo nimeokoa fedha yangu ya sadaka kwani ilkakuwa nauli ya kwendea kazini kesho!
Serikali imeshatoa ufafanuzi juu ya hali ya hazina, ila nyumbu bado hamuelewi...
Zilizo nunulia vitanda zilikua real Cash na walikua nazo mkononi. Ila zile za kwenda Nje ya nchi na kuadhimisha sherehe za uhuru zingeweza kukopwa na kuiingizia serikali katika madeni zaidi. Mbona hii ni fact nyepesi sana ambayo uhitaji shahada kuielewa!?wanaposema badala yake zinunue vitanda...huoni kuwa ni usanii
vipi usingekuwa na pesa ya sadaka ukaamua kutoenda kanisani..ungesema umeokoa pesa yako wakati hela yenyewe haukuwa nayo