Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,923
- 133,965
Nampongeza Magufuli kufuta sherehe za maadhimisho mbalimbali ikiwepo kupunguza matumizi ya pesa sherehe za wabunge, kufuta sherehe ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI na siku ya Uhuru. Taarifa za Ufutwaji huo zimekuwa zikitolewa kwamba serikali imeokoa mamilioni ya hela ila ukweli ni kuwa hayo mamilioni yaliyookolewa hayapo. Serikali haina hela za kutosha na inakabiliwa na lundo la madeni ya ndani na nje. Mfano huna hela ya kwenda club wikend hii halafu ukafuta huo mtoko, huwezi sema umeokoa mamilioni. Mengine yanayoendelea nayaunga mkono