Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Tumbo hilo mkuuGrrrrrrrrrr
Wewe ni yule Joseverest original au ni yule fake mkuu?Sawa
mkuu unamwaga asidi kwenye vidondatumbo kwa watu huko
mkuu unamwaga asidi kwenye vidondatumbo kwa watu huko
Huwa naona hapa ofisini kwetu waume pamoja na wake za watu wakiitana 'bae' pamoja na flirting za hapa na pale na wengine kuna siku niliwafumania store wakila tunda la katikati!!Hivi umewaza nini?
ORIGINALWewe ni yule Joseverest original au ni yule fake mkuu?
Joseverest original huwa anacomment wa kwanza kwenye kila uzi,mbona wewe umecomment wa mwisho hapa mkuu?......nina mashaka wewe utakuwa ni yule fake!ORIGINAL
Hizi ndoa hizi ndo maana watu hawaoi siku hiziHuwa naona hapa ofisini kwetu waume pamoja na wake za watu wakiitana 'bae' pamoja na flirting za hapa na pale na wengine kuna siku niliwafumania store wakila tunda la katikati!!
mmmh aiseeJoseverest original huwa anacomment wa kwanza kwenye kila uzi,mbona wewe umecomment wa mwisho mkuu?......nina mashaka wewe utakuwa ni yule fake!
Joseverest original huwa anacomment wa kwanza kwenye kila uzi,mbona wewe umecomment wa mwisho mkuu?......nina mashaka wewe utakuwa ni yule fake!