ukwel mnaboa! Muache tabia hii!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
hivi ushakutana na hili! Mtu unampigia simu anakwambia eti amekumis sana kama ndivyo hivyo si ungenipigia au ungetuma sms! Mtu ana namba za sim za kwako, email, jf mko wote, facebook mko wote, tweeter, alafu bado anasema amekumiss!
 
we ulitakaje? Akuanze?
Si lazima ukim-miss mtu umuanze kuongea naye.
 
mpaka nikupigie ndo useme nimekumis hata siku moja haujapiga ukasema umenimis
 
Labda kwenye fb and other social network ndo kunamfanya akumiss zaidi.
Anamaanisha muonane physically
 
na we acha kupigia pigia watu simu
kama hutaki jinsi wanavyo respond ..
Malalamishi mengine hayana jicho wala kisogo.
 
Kinachokuboa ni nini labda whether anamaanisha hlo neno au hamaanishi?kuna k2 kinaongezeka au kukupungua kwa kuambiwa au kutokuambiwa maneno haya?
 
hivi ushakutana na hili! Mtu unampigia simu anakwambia eti amekumis sana kama ndivyo hivyo si ungenipigia au ungetuma sms! Mtu ana namba za sim za kwako, email, jf mko wote, facebook mko wote, tweeter, alafu bado anasema amekumiss!
huwaga... wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom