Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Duu! Hiyo sayansi yako ulisomea wapi mwenzetu? Acha kupotosha watu kama hujui bora ungenyamaza maana ulichokiandika ni mawazo yako na wala hakuna ukweli wowote!
sawa mkuu Acha waongo tuendelee kutumia juisi ya ukwaju
 
Hii thread tamu kweli kweli.

Kwasisi tusio wanene na hatuna vitambi ukwaju utatusaidia kusafisha matumbo yetu
 
Njoo tubadilishane mkuu, Mi ninacho cha kishkaji! Nakosa watoto wazuri kwa sababu ya kitambi!
Hahaaa kama interest ni watoto wazuri Endelea Kutafuta pesa tuu. Zikijaa hata ukiwa kama lemutuz utaambiwa napenda six packs zako
 
Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Inakutisha nini sasa, uchungu!? Mi napiga sana hiyo kitu! Unaweza kuchanganya na asali kidogo ili uizoee radha, baadae unaacha kuweka asali kabisa ili iingie vizuri
 
Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Green tea ni nzuri sana. Usifatishe taste yake.

I like to take a cup with every meal and in between na alternate na detox water.

Kazana, ina benefits kibao. Na unaweza kuikamulia ndimu hiyo green tea.

Angalizo, nikiinywa on an empty stomach lazima nitapike.
 
Mimi nina uzoefu wa ukwaju kama mtu anasumbuliwa na nyongo nyingi mwilini.Unachukua majani ya ukwaju una yasafisha kisha unaweka maji kidogo una twanga yatakuwa kama mlenda ongeza maji kisha kamua na chujio la nazi. kunywa kikombe kimoja asubuhi na jioni kwa siku nne.Ukipona tupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom