UKUTA yazidi kupata wafuasi

Eti mkesha!Chadema eamepanga kugawa viroba vya bure ili asubuhi watu waanze kufanya vurugu
bora umeshtukia. sasa kuna ukuta na mkesha..wapenda maendeleo tuwe macho na hawa wapinga maendeleo.
 
Atajuta kuwachezea Chadema! Mbinu mwanzo mwisho. Mimi nawskarobisha kwenye mkesha huko Makete. Tutachinja mbuzi 20 na Ng'ombe wawili kwaajili ya supu na nyama choma.Kikicha wakute Barbara zote tumejaaa.
we mi sijui kuwa hta filimbi ya mgambo unaweza kuihimili mkisema ukuta maanisheni mana si kitu rahis sana
 
UKUTA

U: Ukitaka
K: Kuvunjwa
U: Uti wa mgongo
T: Tarehe moja
A: Andamana.

Nimeokota huko bhana.
Bora kuvunjwa uti wa mgongo ukiwa unadai haki kuliko wewe kuvunjwa nanihii na wenzio
 
Ngoja nianze kuchagua kiwanja cha kwenda [emoji4][emoji39]
 
mmmh nikkumbuka mlivyoapa kuzuia mkutano wa ccm, mkasajili na vijana 5000, ila ilipofika tarehe 23 /7 hakuonekana yoyote!! TUNACHOSHANA NA NGONJERA ZENU
Ile ilikua mbinu tu ambayo ilizaa matunda..Polisi walikuja na tamko jingine lililowapa favour upinzani. Ukuta mpango mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…