Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani?
Hizi nyumba mpya za tofali za bloku mbona kama zina kuta nyembamba sana? Zinaweza kuhimili uzito wa nyumba na mikiki mikiki ya hali ya hewa? Standard inataka ukuta wa nje wa nyumba uwe na unene kiasi gani? View attachment 2878626
Shida ni ubora wa hizo tofali na ubora wa msingi. Utagundua kwamba nyumba nyingi zimebomoka kutokana na kupondwa na fensi. Fensi nyingi zinajengwa bila kuweka kina sahihi cha msingi. Mtu anakwangua kidogo ukuta unaanza hapo lazima ngoma ilale. Kaa mbali na fensi katika kipindi hiki.
Plaster ya inchi 2 unene wake ni sawa na unene wa mbao ya 2x2...nchi 2 haifki mkuu, hiyo itakuwa sio plaster tena. Hiyo nchi 2 ya ndani na nje ukiunganisha unapata tofali la nchi 4 (100mm)
Plaster ya inchi 2 unene wake ni sawa na unene wa mbao ya 2x2...nchi 2 haifki mkuu, hiyo itakuwa sio plaster tena. Hiyo nchi 2 ya ndani na nje ukiunganisha unapata tofali la nchi 4 (100mm)
Zipo mkuu, mara nyingi zinatumika kwenye kuta za coping au partition..kwenye hizi nyumba za kuficha paa, kuna ile kozi ya mwisho kabisa ambayo tofali zake huwa zinalazwa (ile ndio coping)