Ukuta wa Mirerani wakusanya shilingi bilioni 2

chagonjam

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
354
Reaction score
417
Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
 
Safi sana huenda ikarudisha hela tulizotumia katika kuujenga tukumbushane tu kiasi gani kilitumika hadi kukamilisha ujenzi.
 
Kwa mwezi au Mwaka?
Kama ni kwa mwezi basi ndani ya Mwaka mmoja serikali inaweza kukusanya karibu ya bil 25,hii ni hela inayotosha kabisa kujenga mradi mkubwa wa maji amvao utatosha kuhudumia wakazi wa Simanjiro kama hawana Maji ya kutosha.Hii kitu ndio Paul Makonda huita uongozi unaoacha alama.
 
kwani si na hizi figure mmepika pia?
 
Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
-Sanaa na Wasanii
-Kiki kwa pikipiki
-Tabu ipo palepale
-Kukimbia kivuli chako
-Kupiga hatua mbili mbele na kurudi nyuma kumi kisha kujipongeza.
-Kujitekenya na kucheka.
 
Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
Mkuu hii habari wanaufipa hawataipenda! Nawaona wanachungulia na kutoka mkuku kama ambavyo nyumbu wanavyovuka mto Mara.
 
Gharama za ujenzi mbona hatukuambiwa
 
Mkuu hiyo bilion 2 zitokee wapi wakati unaenda mwezi wa pili hakuna mawe ya maana zaidi ya magonga tu.Kijiji njaa tu ndani ya ukuta kama sudani apolo wamechoka
Bora umesema ukweli mkuu nipo ndani ya ukuta huku ni over sudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…