Ukuta wa facebook

Ukuta wa facebook

hahaha niliendaga sehem moja inaitwa songwe,ile ina mwagwa maji kama mara sita hivi ndo ina ungwa sasa kam mboga,sasa ole wako umwage maji mara moja kitakachokupata utakijua mwenyewe
Ahahahahaaaaaaaaa ile inaitwa sungwe mdogo wangu ni mboga halafu ni dawa,yaani unapata mlo huku unjitibu magonjwa sugu
 
Back
Top Bottom