UKUTA: Tathmini ya kitakachotekea baada ya hili tamko

mkuu...hata kubaki bungeni unapangiwa cha kuongea na hauko huru...sasa bungeni kuna maana gani
w engine sisi tunaona kuziba watu midomo ni tatizo kubwa kuliko kuwaacha wabwabwaje...tupingane kwa hoja na utendaji wetu usindikize hoja zetu
Bunge ni Ikulu ya Demokrasia , na kulidharau bunge au kulisusia ni kuwadharau wananchi.
Mbona wapinzani na wabunge wote walishirikiana vizuri sana wakati wa Escrow, hadi wananchi tukawapenda!

Tatizo wana Ukawa wakipenyeza siasa za chama chao badala ya hoja za kitaifa, ni lazima wabunge wa CCM watawapinga.
 
UKAWA wamelisusia bunge?
hivi unakumbuka siku ukawa wanaanza kutoka bungeni ilikuwaje? hukumbuki walitoka wote pamoja na wabunge wa CCM ku protest ubabe wa kiti cha spika?
Mkuu....kwa maslahi ya nchi hii tunahitaji hoja kinzani na sio kuwaziba watu midomo.
wakati mwingine tuuvue ukada wa vyama vyetu na tusimamie ukweli....at least Mungu ataiona kweli yetu
 
Usiwstete UKAWA,ndio tabia yao.
Walisusia hata hotuba ya JPM ya ufunguzi wa Bunge.
Hawako serious na kitu chichote.
 
mkuu....I am trying to be objective ili tu discuss issues....lakini unalazimisha niwe subjective.

I have posed very serious concerns. ..nilitarajia utajibu specific issues kuliko kuja na such General comments which aren't addressing the root cause
 
True mkuu lakini track record ya Mbiwe na Chadema do not support objectivity, but cowardly confrontation using young unemployed youths as cannon fodder, to further political gains.

Hakuna kitu kinacho niuma kama kuingizwa mkenge watu kama Mwangosi,
while walio instigate wanajifungia in a safe place siku ya tukio.

Hata hiyo tar 1 vijana wataumia huku hao kina Mbowe and co wakisema " mnaona, tulisema kuna udikteta" ,wakati tayari wameonywa.
 
mwanaume mzima umejaa uoga tu! utaweza kulinda hata familia yako kweli
 
Hii ni tathmini yangu mnaweza mkakubaliana na mimi au mkakataa.
Refer mawazo yaliyowasilishwa na profesa Kitila wa UDSM kuwa upinzani unatakiwa ukae chini na kuja na mbinu zingine kwa sababu huu sio utawala wa JK.

Naona wapinzani wamempuuza ila Kitila Mkumbo alikuwa na point muhimu sana na sio ya kuichukulia juu juu.

Sasa kuanzia sasa hivi polisi watatoA vitisho na kupiga marufuku hayo maandamano na mikusanyiko msishangae baadhi ya viongoZi kukamatwa na kuswekwa ndani..

Ukiangalia mwisho wa UKUTA sio mzuri na unaweza kuleta mtafaruku na uvunjifu wa amani kati ya serikali watawala na upinzani..

Lowasa alishauri upinzani uachane na siasa za harakati ila naona hawajamsikiliza..
Kama Makamba alivyosema kuwa anayekuja atawabatiza kwa moto, na huu ndio utakuwa mwanzo wa moto

Stay tuned and watch the end of this movie.:

Unaweza usiwe mwisho mzuri pande zote
 
Bunge ni Ikulu ya Demokrasia , na kulidharau bunge au kulisusia ni kuwadharau wananchi.
Mbona wapinzani na wabunge wote walishirikiana vizuri sana wakati wa Escrow, hadi wananchi tukawapenda!

Tatizo wana Ukawa wakipenyeza siasa za chama chao badala ya hoja za kitaifa, ni lazima wabunge wa CCM watawapinga.

Wewe ni masikini wa kudadavua issues, analytical ability yako ni ndogo anyway
 
Ndugu zangu.
Mikutano ya kisiasa imetambuliwa kikatiba.Awamu zote zilizopita mikutano ya siasa ilikuwa ruksa.Kinana kafanya mikutano ya siasa mfululizo kuanzia 2010-2015.Kwa nini katika awamu ya tano mikutano ipigwe marufuku?
Nisaidieni hapo.
Nyinyi hamfanyi mikutano kwa ajili ya maendeleo ya wananchi mnafanya mikutano ya matusi tu na kuponda serikali badala ya kuishauri, kwa kifupi hampendi maendeleo kufanywa na ccm ili muendelee kutumia matatizo hayo kama mtaji wa kisiasa, alafu hamueleweki maana yale yalikuwa mnayapigia kelele wakati wa JK serikali imeanza kuyafanyia kazi lakini hamtaki kushiriki kwenye shughuli za maendeleo bali mnataka kuandamana na kumuita Rais dikteta, sijui Hiyo technique aliwapa nani lakini sasa mrudi mkajistamini kuwa hizo siasa mnazofanya hazina tija kwa nchi wala wanachama wenu, hamueleweki, mmeua ajenda ya ufisadi kiasi kwamba Rais akichukua hatua amekuwa dikteta?, you can't be serious, shughuri za madawati hamkuwahi kushiriki na sehemu zingine mnahamashisha viongozi wasipokee ili watoto waendelee kukaa chini, nyinyi hamna maana Kabisa,acha muendelee kusota.
 
A

Acha kutoka povu.Hamia Dodoma kwanza.

Halafu waache unafiki.Wafute katiba ya Jamhuri na mfumo wa vyama vingi.Ibaki serikali na CCM.Watu wafanye kazi tu#Yana mwisho
 
Back
Top Bottom