Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,211
- 138,614
Maneno mengi lakini hujatoa mbadala
Ndugu zangu.
Mikutano ya kisiasa imetambuliwa kikatiba.Awamu zote zilizopita mikutano ya siasa ilikuwa ruksa.Kinana kafanya mikutano ya siasa mfululizo kuanzia 2010-2015.Kwa nini katika awamu ya tano mikutano ipigwe marufuku?
Nisaidieni hapo.
Samahani nakazia tu! To every action there is an equal and opposite reaction.Ungeanza kwa kukemea upigaji marufuku wa mikutano ya kisiasa.
Newton's Third Law of motion states that "To every action there is a reaction".
Haiwezekani akaja mtu mmoja akaondoa haki zilizopitishwa kikatiba alafu ukategemea mambo yabaki vile vile.Hii marufuku itazaa wanaharakati lukuki.
Endelea na woga wako had I watakapombinafsishia mkeo kwa Raid ndipo utashtuka. Udikteta ni ubabe wa kinyama mind youHii ni tathmini yangu mnaweza mkakubaliana na mimi au mkakataa.
Refer mawazo yaliyowasilishwa na profesa Kitila wa UDSM kuwa upinzani unatakiwa ukae chini na kuja na mbinu zingine kwa sababu huu sio utawala wa JK.
Naona wapinzani wamempuuza ila Kitila Mkumbo alikuwa na point muhimu sana na sio ya kuichukulia juu juu.
Sasa kuanzia sasa hivi polisi watatoA vitisho na kupiga marufuku hayo maandamano na mikusanyiko msishangae baadhi ya viongoZi kukamatwa na kuswekwa ndani..
Ukiangalia mwisho wa UKUTA sio mzuri na unaweza kuleta mtafaruku na uvunjifu wa amani kati ya serikali watawala na upinzani..
Lowasa alishauri upinzani uachane na siasa za harakati ila naona hawajamsikiliza..
Kama Makamba alivyosema kuwa anayekuja atawabatiza kwa moto, na huu ndio utakuwa mwanzo wa moto
Stay tuned and watch the end of this movie.:
Tunaweza kupiga kelele kwa njia ya amani tu na haiwezekani kurafuta njia nyingine kwa kuwa tu chama tawala kimeamua kuwa kidhalimu na hakina adabu kwa na huruma kwa raia wake!haki haiombwi hudaiwa !ndio madhara yatakuwepo na lazima mimi au wewe uumie ili madhalim waelewe!Sifurahii lakini njia inayotumika sio nzuri kwa wakati huu... Tungekuwa waarabu hapo sawa.. Waarabu waki rise wanaingia kitaa wote kupinga udhalimu.. Ila kwa bongo yetubkwa woga wetu huu watakaoumia ni wachache sana ..mimi nishaingia sana kitaa na chupa langu la maji.. Ila ukipigwa au ukiumia unaenda kuuguza mwenyewe japo hio ndio price ya HAKI. Wewe si utaona.. Kuanzia wiki hii utaona matamko ya mapolisi kila mkoa..
Kama mlikuwa wawili ni rahisi kupigwa lakini nguvu ya umma siku zote hushinda. Siungi mkono vurugu wala sina ushabiki na chama chochote isipokuwa nimeona nikufahamishe tu umma ukiamua kusimamia haki hata uje na maji ya kuwasha ukayachanganya na chunvi umma ndio utashinda. Mifano ipo mingi tu lakini viongozi wa afrika hufanya mioyo migumu.Kaka kweli unamaanisha? Ushawahi kushiriki maandamano yoyote afu wazee wa kazi wakaja kuleta noma? Niulize mimi hapa..
Swadakta mkuuSamahani nakazia tu! To every action there is an equal and opposite reaction.
Jaribu kuwa mkweli.Hatufanyi mizaha hapa.CHADEMA NDOO VINARA WA KUMINYA DEMOKRASIA
Cjui kama una akili au ni wewe wa Kwenye Kipindi cha zamaladi mtetemaWanamjaribu tu Magufuli,waacheni wakavunjwe miguu
Labda uliyekatwa mkiamimi ni mfuasi wa CHADEMA, ila kwa sasa siungi mkono siasa za harakati, maandamano, vurugu.
Chadema wakae waje na mpango mkakati mbadala wa maandamano na vurungu. Nimechoka kutumiwa
Kwani mikutano ya CDM inamkera nini mkuu na baraza lake la mawaziri? ??? Au ndio ile kuwa ushindi ulikuwa na figisufigisu ?!Nafikiri nnafasi ya KUB lupango imeshatengenezwa tayari.
Ni suala la muda tu.
Mlianza kwa kupiga deki barabara.Hakuna dhambi kubwa duniani kama woga.
By Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini.
Inaelekea wewe uliyeandika uzi huu utakuwa kada wa Chama tawala ambaye unafaidika na uminyaji huu wa waziwazi wa demokrasia hapa nchini.
Vunja uwe kama muuaji wa MwangosiWanamjaribu tu Magufuli,waacheni wakavunjwe miguu
hahahaaaaaaa umenichekesha mkuu asiye sikia la mkuu..........Wanamjaribu tu Magufuli,waacheni wakavunjwe miguu
Mwangosi alionywa hivihivi.Vunja uwe kama muuaji wa Mwangosi
Weka hiyo unayoiita mipango mikakati hapa si kudharau huku huna mpango mbadalamimi ni mfuasi wa CHADEMA, ila kwa sasa siungi mkono siasa za harakati, maandamano, vurugu.
Chadema wakae waje na mpango mkakati mbadala wa maandamano na vurungu. Nimechoka kutumiwa
Kweli ukiwa mfuasi wa dola huoni ni kusifu na kuabudu. Mwangosi ni shujaa tayari na Jina lake litadumu .Mwangosi alionywa hivihivi.
Ati leo ameshinda kesi, nuuaji atskaa lupango miaka 7, wakati Mwangosi yuko
Sehemu asiyoweza kuoatikana.
Walisema watamsomeshea watoto, yote magirini ya kisiasa.
Kaandamaneni mupate kuingia kwenye historia, na kuwahi viwanja kule kusikojulikana.