UKUTA: Tathmini ya kitakachotekea baada ya hili tamko

Mtoa mada mbona kama siyo mtanzania? Naomba nikueleweshe kidogo, Ni hivi hatuwezi kuvumilia kuona kiongoz anavunja katiba ya nchi alafu tukae kimya, hatuwezi tukaongozwa na fikra za mtu mmoja na hasa tunapogundua huwezo uwezo wake fikra ni Mdogo, hatukubali, hatukubali, hatukubali
 
Sifurahii lakini njia inayotumika sio nzuri kwa wakati huu... Tungekuwa waarabu hapo sawa.. Waarabu waki rise wanaingia kitaa wote kupinga udhalimu.. Ila kwa bongo yetubkwa woga wetu huu watakaoumia ni wachache sana ..mimi nishaingia sana kitaa na chupa langu la maji.. Ila ukipigwa au ukiumia unaenda kuuguza mwenyewe japo hio ndio price ya HAKI. Wewe si utaona.. Kuanzia wiki hii utaona matamko ya mapolisi kila mkoa..
Kama hufurahii uzi wako unalenga nini? Hivi unamfahamu vizuri Prof Kitilla? Alishauri mbinu gani zitumike? Wewe na Prof Kitilla wote hamna faida yoyote katika mazingira ambayo taifa limo kwa sasa!
 
Ww jamaa hujitambui muda mwngne,,,hatuangalii utawala wa jk ama jpm.kinacho angaliwa ni sheria ama kanuni.je znafuatwa? Maana mikutano ya siasa ipo kwa mujibu wa sheria asa inapo zuiliwa,huoni kama anavunja hzo kanuni? Haki lazma idaiwe kwa namna yoyote
 
Dah...siasa za vyama vingi zina zaidi ya miaka 20.. Lakini hakuna nafuu yoyote kwa mwananchi wa kawaida...zaidi ya kuongezewa mzigo mkubwa wa kuwanenepesha wanasiasa.....sisi tunavuja jasho wao wanapiga pereteperete tu.. Na mbele hatuendi... Huu ni ujinga sasa.. Mungu atamsaidia na awabatize tu kwa moto[emoji124] [emoji124] [emoji4]
 
Tanzania siasa za kiharakati bado zinahitajika kabsa hasa kipindi hiki cha awamu ya tano ....awamu ambayo ina maneno mengi kuliko uhalisia
CHADEMA ya operation sangara, M4C, UKAWA, mabadiliko na sasa UKUTA, si ya maneno ila uhalisia
 
Hakuna dhambi kubwa duniani kama woga.
By Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini.

Inaelekea wewe uliyeandika uzi huu utakuwa kada wa Chama tawala ambaye unafaidika na uminyaji huu wa waziwazi wa demokrasia hapa nchini.
Mimi nikishahudhuria harakati kibao.. Za Chadema.. Nishakula sana mabomu.. Najua wewe hujawahi..
 
Haya Chadema ili neno UKUTA, mtashikishwa UKUTA kweli wa demokrasia au Ukuta upi?haya maneno ,haya muwe mnaangalia.
 
Hii ni tathmini yangu mnaweza mkakubaliana na mimi au mkakataa.
Refer mawazo yaliyowasilishwa na profesa Kitila wa UDSM kuwa upinzani unatakiwa ukae chini na kuja na mbinu zingine kwa sababu huu sio utawala wa JK.

Naona wapinzani wamempuuza ila Kitila Mkumbo alikuwa na point muhimu sana na sio ya kuichukulia juu juu.

Sasa kuanzia sasa hivi polisi watatoA vitisho na kupiga marufuku hayo maandamano na mikusanyiko msishangae baadhi ya viongoZi kukamatwa na kuswekwa ndani..

Ukiangalia mwisho wa UKUTA sio mzuri na unaweza kuleta mtafaruku na uvunjifu wa amani kati ya serikali watawala na upinzani..

Lowasa alishauri upinzani uachane na siasa za harakati ila naona hawajamsikiliza..
Kama Makamba alivyosema kuwa anayekuja atawabatiza kwa moto, na huu ndio utakuwa mwanzo wa moto

Stay tuned and watch the end of this movie.:
Ngoja tuone
 
Hivi chadema wakiruhusiwa kufanya mikutano na maandamano kama ccm na polisi wakawalinda kama wanavyo fanya wakifanya wa ccm kutaweza kutokea vurugu kweli? Na kama wakiruhusiwa wakifanya kwa amani mikutano yao na wananchi ina madhara gani kwa serikali na chama tawala?
Napenda niwashirikishe maswali hayo mawili hasa kwakuzingatia ukweli vitendo hivi vinaupa nguvu upinzani na kuwaongezea wafuasi wenye hamasa kwa kuwapa sababu ya kupigania haki yao ya kikatiba.
Unaweza kuwa mwepesi wa kudanganywa upinzani utakufa lakini angalia grafu ya kukua kwa upinzani tangu uchaguzi wa mwaka 1995 hadi 2015. Kwa mambo haya tutarajie ongezeko kubwa la wanaharakati wenye ari na uwezo wa kuelezea kwanini wafanye harakati.
 
Kama mlikuwa wawili ni rahisi kupigwa lakini nguvu ya umma siku zote hushinda. Siungi mkono vurugu wala sina ushabiki na chama chochote isipokuwa nimeona nikufahamishe tu umma ukiamua kusimamia haki hata uje na maji ya kuwasha ukayachanganya na chunvi umma ndio utashinda. Mifano ipo mingi tu lakini viongozi wa afrika hufanya mioyo migumu.
Wewe itisha maandamano yako kwa sasa hivi uone kama hutaenda wewe na mkeo tu...vijana wengi wapo mtaa ia angalia lile nyomi la Lowasa pale jangwani... Ila yale yashapita.. Msidhani kuwa bado mna support kubwa vile.. Its better you come with another tactic za kiutu uzima.. Harakati waachieni watoto wa vyuo wanaodai boom
 
Baada ya uchaguzi hadi leo unaweza kunipa takwimu za upinzani wafuasi wake? Kabla ya uchaguzi ni sawa upinzani ulikuwa na wafuasi wengi.. But now you dont know and dont lie.
 
Dah...siasa za vyama vingi zina zaidi ya miaka 20.. Lakini hakuna nafuu yoyote kwa mwananchi wa kawaida...zaidi ya kuongezewa mzigo mkubwa wa kuwanenepesha wanasiasa.....sisi tunavuja jasho wao wanapiga pereteperete tu.. Na mbele hatuendi... Huu ni ujinga sasa.. Mungu atamsaidia na awabatize tu kwa moto[emoji124] [emoji124] [emoji4]
Aminaaa!!
Wabatizwe .. Ila kiongozi kelele za wapinzani bungeni zilimsaidia sana JK
 
Wanamjaribu tu Magufuli,waacheni wakavunjwe miguu
Wanam'bp' Rais aseme kitu au kuchukua hatua halali, ili wapate la kuongea ati ni dikteta.

Lakini, CHADEMA ijue kwamba ni sisi Watanzania tutakao wahukumu na kuwapa adhabu, na siyo wajomba zao huko nje.
 
Mzee wa kubatiza kwa moto anawasubiri! Ha ha haaaaaa.....
 
Hivi chadema wakiruhusiwa kufanya mikutano na maandamano kama ccm na polisi wakawalinda kama wanavyo fanya wakifanya wa ccm kutaweza kutokea vurugu kweli? Na kama wakiruhusiwa wakifanya kwa amani mikutano yao na wananchi ina madhara gani kwa serikali na chama tawala?
Napenda niwashirikishe maswali hayo mawili hasa kwakuzingatia ukweli vitendo hivi vinaupa nguvu upinzani na kuwaongezea wafuasi wenye hamasa kwa kuwapa sababu ya kupigania haki yao ya kikatiba.
Unaweza kuwa mwepesi wa kudanganywa upinzani utakufa lakini angalia grafu ya kukua kwa upinzani tangu uchaguzi wa mwaka 1995 hadi 2015. Kwa mambo haya tutarajie ongezeko kubwa la wanaharakati wenye ari na uwezo wa kuelezea kwanini wafanye harakati.
Kweli kabisa mkuu [emoji122]
 
"....Wapinzani waje na mbinu nyingine", mbinu ipi hiyo kama wanazuiwa kufanya shughuli za siasa na kuwafikia wananchi??? hebu atoke mtu mwenye akili atufafanulie nini kinachosemwa hapa. Je unaweza kuvizuia vyama vya siasa kufanya shughuli zake za siasa, kisha ukavishauri kuja na mbinu ipi???
 
Back
Top Bottom