UKUTA: Tathmini ya kitakachotekea baada ya hili tamko

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
Hii ni tathmini yangu mnaweza mkakubaliana na mimi au mkakataa.
Refer mawazo yaliyowasilishwa na profesa Kitila wa UDSM kuwa upinzani unatakiwa ukae chini na kuja na mbinu zingine kwa sababu huu sio utawala wa JK.

Naona wapinzani wamempuuza ila Kitila Mkumbo alikuwa na point muhimu sana na sio ya kuichukulia juu juu.

Sasa kuanzia sasa hivi polisi watatoA vitisho na kupiga marufuku hayo maandamano na mikusanyiko msishangae baadhi ya viongoZi kukamatwa na kuswekwa ndani..

Ukiangalia mwisho wa UKUTA sio mzuri na unaweza kuleta mtafaruku na uvunjifu wa amani kati ya serikali watawala na upinzani..

Lowasa alishauri upinzani uachane na siasa za harakati ila naona hawajamsikiliza..
Kama Makamba alivyosema kuwa anayekuja atawabatiza kwa moto, na huu ndio utakuwa mwanzo wa moto

Stay tuned and watch the end of this movie.:
 
Ndugu zangu.
Mikutano ya kisiasa imetambuliwa kikatiba.Awamu zote zilizopita mikutano ya siasa ilikuwa ruksa.Kinana kafanya mikutano ya siasa mfululizo kuanzia 2010-2015.Kwa nini katika awamu ya tano mikutano ipigwe marufuku?
Nisaidieni hapo.
 
Dawa ya moto ni moto
Washa moto nasi tuwashe moto
 
Je mleta mada anafurahia uminywaji wa demokrasia?
Sifurahii lakini njia inayotumika sio nzuri kwa wakati huu... Tungekuwa waarabu hapo sawa.. Waarabu waki rise wanaingia kitaa wote kupinga udhalimu.. Ila kwa bongo yetubkwa woga wetu huu watakaoumia ni wachache sana ..mimi nishaingia sana kitaa na chupa langu la maji.. Ila ukipigwa au ukiumia unaenda kuuguza mwenyewe japo hio ndio price ya HAKI. Wewe si utaona.. Kuanzia wiki hii utaona matamko ya mapolisi kila mkoa..
 
Ungeanza kwa kukemea upigaji marufuku wa mikutano ya kisiasa.
Newton's Third Law of motion states that "To every action there is a an equal and opposite reaction".
Haiwezekani akaja mtu mmoja akaondoa haki zilizopitishwa kikatiba alafu ukategemea mambo yabaki vile vile.Hii marufuku itazaa wanaharakati lukuki.
 
Hii ni tathmini yangu mnaweza mkakubaliana na mimi au mkakataa.
Refer mawazo yaliyowasilishwa na profesa Kitila wa UDSM kuwa upinzani unatakiwa ukae chini na kuja na mbinu zingine kwa sababu huu sio utawala wa JK. Naon wapinzani wamempuuza ila Kitila Mkumbo alikuwa na point muhimu sana na sio ya kuichukulia juu juu.
Sasa kuanzia sasa hivi polisi watatoA vitisho na kupiga marufuku hayo maandamano na mikusanyiko msishangae baadhi ya viongoZi kukamatwa na kuswekwa ndani.. Ukiangalia mwisho wa UKUTA sio mzuri na unaweza kuleta mtafaruku na uvunjifu wa amani kati ya serikali watawala na upinzani..
Lowasa alishauri upinzani uachane na siasa za harakati ila naona hawajamsikiliza..
Kama Makamba alivyosema kuwa anayekuja atawabatiza kwa moto, na huu ndio utakuwa mwanzo wa moto
Stay tuned and watch the end of this movie.:
Mmh.
 
Hii ni tathmini yangu mnaweza mkakubaliana na mimi au mkakataa.
Refer mawazo yaliyowasilishwa na profesa Kitila wa UDSM kuwa upinzani unatakiwa ukae chini na kuja na mbinu zingine kwa sababu huu sio utawala wa JK.

Naona wapinzani wamempuuza ila Kitila Mkumbo alikuwa na point muhimu sana na sio ya kuichukulia juu juu.

Sasa kuanzia sasa hivi polisi watatoA vitisho na kupiga marufuku hayo maandamano na mikusanyiko msishangae baadhi ya viongoZi kukamatwa na kuswekwa ndani..

Ukiangalia mwisho wa UKUTA sio mzuri na unaweza kuleta mtafaruku na uvunjifu wa amani kati ya serikali watawala na upinzani..

Lowasa alishauri upinzani uachane na siasa za harakati ila naona hawajamsikiliza..
Kama Makamba alivyosema kuwa anayekuja atawabatiza kwa moto, na huu ndio utakuwa mwanzo wa moto

Stay tuned and watch the end of this movie.:
Nafikiri nnafasi ya KUB lupango imeshatengenezwa tayari.
Ni suala la muda tu.
 
Kwa hiyo kwako wewe unaona sahihi kabisa kuwa pamoja na Katiba ya nchi Ibara ya 3 kutamka kuwa nchi hii itakuwa ya mfumo wa vyama vingi, lakini iwe halali kwa Magu kupiga marufuku mikutano ya kisiasa ya vyama vya upinzani na wakati huo huo kuruhusu mikutano ya chama chake cha CCM kufanya mikutano yake?

Nchi yoyote unayoona kumetokea machafuko ni kutokana na watawala kutozingatia utawala bora wa kisheria unaozingatia Katiba za nchi zao na badala yake viongozi wake kuendesha utawala wa kibabe na utawala wa kuvunja sheria za nchi.

Watanzania tutakuwa watu wa ajabu iwapo tutakuwa tunaona viongozi wetu wanavunja Katiba ya nchi waziwazi na sisi wananchi tunaamua kukaa kimya. kutokana na woga tu wa kuhofia Jeshi la Polisi kutusambaratisha na magari yao ya washawasha ambayo yamenunuliwa kwa kodi zetu sisi wananchi!
 
Kaka kweli unamaanisha? Ushawahi kushiriki maandamano yoyote afu wazee wa kazi wakaja kuleta noma? Niulize mimi hapa..
Hakuna dhambi kubwa duniani kama woga.
By Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini.

Inaelekea wewe uliyeandika uzi huu utakuwa kada wa Chama tawala ambaye unafaidika na uminyaji huu wa waziwazi wa demokrasia hapa nchini.
 
Back
Top Bottom