UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
Hiyo shughuri unataka kuifanyia wapi? mkoa gani? Na bajeti yako kiasi gani?WanaJF wenzangu!
Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!
Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!
Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!
Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!
ahsanteni sana!
Hiyo shughuri unataka kuifanyia wapi? mkoa gani? Na bajeti yako kiasi gani?
mkuu nipo dsm nilisahau kuandika, usinge ni wapi???Njoo hapa kanisani Usinge....kuna ukumbi mzuri sana.
mkuu nipo dsm nilisahau kuandika, usinge ni wapi???
Usinge ni sehemu ya mkoa wa Tabora. Kumbi nyingi hapa Dar zinarange kati ya 1.5M to 2.5M kwa zile za kawaida... Makuti au mabati hall pale JKT mfulanimkuu nipo dsm nilisahau kuandika, usinge ni wapi???
duu sasa mm nipo dsm mkuu wangu!Urambo huku mkuu...kama unaenda Uvinza...
Usinge ni sehemu ya mkoa wa Tabora. Kumbi nyingi hapa Dar zinarange kati ya 1.5M to 2.5M kwa zile za kawaida... Makuti au mabati hall pale JKT mfulani
Sa si useme we una kiasi gani ili tukutajie unaofanana na kiasi hicho..duu sasa mm nipo dsm mkuu wangu!
mamaaaaaaa kashughuli kenyewe mkuu kana bajeti ndogo sana! kwa bei hiyo tunauana mkuu!!
WanaJF wenzangu!
Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!
Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!
Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!
Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!
ahsanteni sana!
WanaJF wenzangu!
Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!
Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!
Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!
Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!
ahsanteni sana!
ukumbi umeshapata ni wewe tu uangalie bei zake uko ukumbi hapa mango garden vijana social hall una hali nzuri na sehemu ya kuegesha magari pako, kuhusu bei mnaongea kwani hawana bei ghali sana, na \
kwingine ni mwenge kuna oopen space nzuri sana pale karibia na kanisa la kakobe wanaanzia shs 200,000/= na maongezi yako,
Vilevile usinisahau mm ni nafanya huduma za kutengeneza keki za harusi, kupamba kwenye makumbi ya harusi, kutengeneza KADI ZA HARUSI ukitaka sample nitakuletea kama uko dar na pia ni MC hivyo ikifikia september njooo uone huduma zangu utafurahia na kuienjoy karibu sana
Ukipata ya open space unishtue na mimi harusi yangu 2016...!
UNDENIABLE kumbe kuna ka shughuli unakaandaa kimya kimya hujanijuzaduu sasa mm nipo dsm mkuu wangu!
mamaaaaaaa kashughuli kenyewe mkuu kana bajeti ndogo sana! kwa bei hiyo tunauana mkuu!!
Usinge ni sehemu ya mkoa wa Tabora. Kumbi nyingi hapa Dar zinarange kati ya 1.5M to 2.5M kwa zile za kawaida... Makuti au mabati hall pale JKT mfulani
We Heaven on earth Alikudanganya anataka akuwowee wewe nini...!! maana ulivyoshutuka, utafikiri umeota unakufa kwenye zile ndoto ambazo huwezi kukimbia na wenzio wanakuacha huku muuwaji anakukaribiaUNDENIABLE kumbe kuna ka shughuli unakaandaa kimya kimya hujanijuza
WanaJF wenzangu!
Plz nahitaji ukumbi wa bei ya wastani kwa ajili ya kufanyia ka-shuguli ketu ka harusi mwezi wa septemba this year!
Naombeni mnijulishe wapi naweza pata!
Hata "open space" pia nazipendelea zaidi kulingana na bei!
Plz help, its very urgent!
ladyfurahia, Heaven on earth, Earth on heaven, Himidini, Blue G, Mentor, and familia nzima ya jf plz come and help!
ahsanteni sana!
We Heaven on earth Alikudanganya anataka akuwowee wewe nini...!! maana ulivyoshutuka, utafikiri umeota unakufa kwenye zile ndoto ambazo huwezi kukimbia na wenzio wanakuacha huku muuwaji anakukaribia
Hamia Airtel (kwangu)...yaani Ngalikihinja ilibaki kidogo ni:faint: