Hiki chumba kama jalalaHicho chumba ulicho post ni cha "VIJANA WA JK" kipindi hicho, sasa hebu tuangalie na chumba cha "VIJANA WA JIWE" hapa chini.View attachment 1723176
Hata kirusi cha Covid-19 lazima kitoke baru.
Kweli kabisa, na wengine wanaona hiyo ni normal. Kuna watu wanahitaji msaada wa kisaikolojia kwakweliWatu wengi huishi hivi. Maisha haya ukiyaishi ndiyo mpangilio wa ubongo wako utakavyo fanya kazi. Wana saikolojia wanasema mpangilio mzuri wa vitu husaidia akili kufanya kazi kwa mpangilio.
Chumba cha kulala fenicha yake ni kitanda tuNimejenga chumba cha kulala kikubwa issue ni mpangilio wa fenicha hapo nimechemka.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.Nimejenga chumba cha kulala kikubwa issue ni mpangilio wa fenicha hapo nimechemka.
Huyu ni mchafu aisee, ila sijaona kipisi cha Kaya hapo.Hicho chumba ulicho post ni cha "VIJANA WA JK" kipindi hicho, sasa hebu tuangalie na chumba cha "VIJANA WA JIWE" hapa chini.View attachment 1723176
Hata kirusi cha Covid-19 hakiwezi kuishi, mazingira sio rafiki, lazima kitoke baruti.
Weka picha nikuonyeshe jinsi ya kupangiliaNimejenga chumba cha kulala kikubwa issue ni mpangilio wa fenicha hapo nimechemka.
Wrong, Vip kuhusu kabati? Kochi moja la kupumzikia, 📺 TV?Chumba cha kulala fenicha yake ni kitanda tu
Sawa, tunakusubirintarudi
Linda Joseph, Niko kwa ajili yakoWaooh, cha muhimu uwe na partner but ukiwa bachela ni taabu🙄
chumba cha kulala kinatikiwa kiwe kikubwa with large windows,tv,kochi pembeni.kwenye hotels naonaga wanaweka hadi fridge.au umasemaje rasta?Sawa, tunakusubiri
View attachment 1723175
Hakuna TV wala book shelf, hii ni sehemu ya kupumzika tu.