Bahasha ya Yanga inapogomewa matokeo halisi nayaona. Uchezaji halisi wa mpinzani utauona

This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,903
4,979
Bahasha zao ziko Mara tatu :
1.Watatoa bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani wacheze chini ya kiwango. Na magoli marahisi rahisi Mara ya kujifunza nk

2.Watatoa bahasha kupitia kisingizio Cha Motisha kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa timu pinzani. Hivi Sasa hivi TZ Prisons wamewekewa Tzs milioni 25 waikamie Simba.

Bahasha hizi hutotolewa kwa mechi za Simba za nje ya DSM kwenye viwanja cya mikoani.

3.Bahasha kwa Waamuzi/Marefa kuhakikisha wanakuwa upande wao. Ukisikia kelele za lawama kwa refa jua refa hakuwa upande wao.

Fuatilia msimu juu wote ikiwa km utasikia Kuna mechi ya Yanga Kuna kikundi, wapenzi au mashabiki wameweka HELA ili Yanga ifungwe.

Motisha iliyopo ktk ligi yetu Ni kuhakikisha wapinzani wanapewa ahadi ili Simba kufungwa. Hii ndiyo motisha ambayo TFF na Bodi yake ya Ligi wamebariki.

Hata km Yanga ingekuwa na ubora wa viwango vya Manchester City ili uweze kutwaa ubingwa wa ligi lazima kuhakikisha Simba inapoteza. Kwa sababu Hata km Simba au Yanga Ni mbovu kiasi gani Hawa ndiyo washindani halisi ktk mbio za ubingwa.

MBINU NYINGINE ZA GSM, HERSI NA YANGA YAO.

Kutengeneza gap/mwachano wa point na Simba kwa gharama yoyote. Ndiyo maana bahasha zinatumika kwa mechi za Simba mikoani.

Kuna Kamati za ufundi za akina Antony mbunge wa Dodoma Kutoa bahasha kwa mabenchi ya ufundi au makipa au mabeki kucheza chini ya kiwango.

Nb: Hakuna ubishi kwamba Yanga Ni bora kiasi fulani wameimarika lkn hawana ubingwa wa ligi bila kuhakikisha Simba inapoteza.

Matokeo yao yanachagizwa na Simba kupoteza au kudroo. Huu ndiyo motisha kwao.

Mtu mjinga anaweza kuhoji na Kimataifa he huko nako bahasha? Hapa nazungumzia njia yao yakuoata ubingwa wa ligi.

Lkn pia huko kimataifa tuliona akicheza nusu fainali na timu marehemu zinazoshuka daraja.
Tumeona juzi alicheza na timu ambazo zinacheza mechi zote DSM. Tuliiona El Mereikh isiyo na makao iliyo ukimbizini na ambayo key players walishaondoka. Mereikh iliyochoka.

Safarini kutoka Ubaruku kule Mbarali.
Screenshot_20231004-204931.jpg
 
Yanga bingwa mara 29 sasa kwakua hoja ni bahasha za GSM basi ondoa mara mbili ambazo GSm wamekuja Yanga je! Izo hesabu za ubingwa mara 27 na Gsm hakuwepo nazo zilikua bahasha?

Simba wana bonas za ushindi katika ligi ina maana Timu zingine kama prison wakipewa bonasi endapo watashinda au kotoa sare zinahesabika kama bahasha?

Msemaji wa Ihefu anahojiwa na wahandishi kuhusu bonasi ya ushindi wa timu yake naye akajibu bonasi yao imeshatoka ni kuchukua kadi yako ya benk na kwenda kujihudumia mbona hatukusikia wana Yanga kulalamika?

Kwenye maofisi kuna bonas, kwenye familia zipo bonas mbalimbali hasa watoto wafanyapo vizuri mashuleni n.k sasa ata ao wachezaji mpira ndio ofisi yao

Motisha/bonasi ni vitu vya kawaida katika michezo tatizo mbumbumbu fc wengi wana fikra za kiwango cha Mangungu wa Manzoki.
 
Likija suala la Mpira hata Mshana Jr huwezi zania kama ni Mshana huyu huyu mwenye fact na wengine wengi.

Mpira ni ushetani Fulani hivi unatutia upofu Sana, kwa hiyo hata mtoa mada simshangai ni kwa mujibu wa KATIBA kila mtu anahaki ya kutoa maoni Ila asivunje sheria.

All in all Leo SIMBA pia apigwe .
 
Mangungu ndio meenyekiti wetu na mwakilishi wetu yaani ni bora kuliko wana simba wote ....for sure hatuwez kuwa na akili.
Mleta uzi, unatuaibisha bana
 
Yanga bingwa mara 29 sasa kwakua hoja ni bahasha za GSM basi ondoa mara mbili ambazo GSm wamekuja Yanga je! Izo hesabu za ubingwa mara 27 na Gsm hakuwepo nazo zilikua bahasha?

Simba wana bonas za ushindi katika ligi ina maana Timu zingine kama prison wakipewa bonasi endapo watashinda au kotoa sare zinahesabika kama bahasha?

Msemaji wa Ihefu anahojiwa na wahandishi kuhusu bonasi ya ushindi wa timu yake naye akajibu bonasi yao imeshatoka ni kuchukua kadi yako ya benk na kwenda kujihudumia mbona hatukusikia wana Yanga kulalamika?

Kwenye maofisi kuna bonas, kwenye familia zipo bonas mbalimbali hasa watoto wafanyapo vizuri mashuleni n.k sasa ata ao wachezaji mpira ndio ofisi yao

Motisha/bonasi ni vitu vya kawaida katika michezo tatizo mbumbumbu fc wengi wana fikra za kiwango cha Mangungu wa Manzoki.
Alikuwepo Gulamali fisadi mkubwa.Kazi yake ilikuwa kununua mechi za ndani
 
Bahasha zao ziko Mara tatu :
1.Watatoa bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani wacheze chini ya kiwango. Na magoli marahisi rahisi Mara ya kujifunza nk

2.Watatoa bahasha kupitia kisingizio Cha Motisha kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa timu pinzani. Hivi Sasa hivi TZ Prisons wamewekewa Tzs milioni 25 waikamie Simba.

Bahasha hizi hutotolewa kwa mechi za Simba za nje ya DSM kwenye viwanja cya mikoani.

3.Bahasha kwa Waamuzi/Marefa kuhakikisha wanakuwa upande wao. Ukisikia kelele za lawama kwa refa jua refa hakuwa upande wao.

Fuatilia msimu juu wote ikiwa km utasikia Kuna mechi ya Yanga Kuna kikundi, wapenzi au mashabiki wameweka HELA ili Yanga ifungwe.

Motisha iliyopo ktk ligi yetu Ni kuhakikisha wapinzani wanapewa ahadi ili Simba kufungwa. Hii ndiyo motisha ambayo TFF na Bodi yake ya Ligi wamebariki.

Hata km Yanga ingekuwa na ubora wa viwango vya Manchester City ili uweze kutwaa ubingwa wa ligi lazima kuhakikisha Simba inapoteza. Kwa sababu Hata km Simba au Yanga Ni mbovu kiasi gani Hawa ndiyo washindani halisi ktk mbio za ubingwa.

MBINU NYINGINE ZA GSM, HERSI NA YANGA YAO.

Kutengeneza gap/mwachano wa point na Simba kwa gharama yoyote. Ndiyo maana bahasha zinatumika kwa mechi za Simba mikoani.

Kuna Kamati za ufundi za akina Antony mbunge wa Dodoma Kutoa bahasha kwa mabenchi ya ufundi au makipa au mabeki kucheza chini ya kiwango.

Nb: Hakuna ubishi kwamba Yanga Ni bora kiasi fulani wameimarika lkn hawana ubingwa wa ligi bila kuhakikisha Simba inapoteza.

Matokeo yao yanachagizwa na Simba kupoteza au kudroo. Huu ndiyo motisha kwao.

Mtu mjinga anaweza kuhoji na Kimataifa he huko nako bahasha? Hapa nazungumzia njia yao yakuoata ubingwa wa ligi.

Lkn pia huko kimataifa tuliona akicheza nusu fainali na timu marehemu zinazoshuka daraja.
Tumeona juzi alicheza na timu ambazo zinacheza mechi zote DSM. Tuliiona El Mereikh isiyo na makao iliyo ukimbizini na ambayo key players walishaondoka. Mereikh iliyochoka.

Safarini kutoka Ubaruku kule Mbarali. View attachment 2772645
Kuna mtu nimemuona hapa
 
Dawa ya Yote hayo ni

1.kusajili wachezaji Wazuri.

2.kuwa na KOCHA Bora.

3. Kuwa na Scaut Bora yenye kuweza kunasa wachezaji wazuri.

4. Motisha na Hamnasa kwa wachezaji.

5. Posho Bonas na Mishahara MInono

HIYO NDIO DAWA YA VYOTE.
Umemaliza mkuu, watu wanaleta porojo porojo.
 
Yanga bingwa mara 29 sasa kwakua hoja ni bahasha za GSM basi ondoa mara mbili ambazo GSm wamekuja Yanga je! Izo hesabu za ubingwa mara 27 na Gsm hakuwepo nazo zilikua bahasha?

Simba wana bonas za ushindi katika ligi ina maana Timu zingine kama prison wakipewa bonasi endapo watashinda au kotoa sare zinahesabika kama bahasha?

Msemaji wa Ihefu anahojiwa na wahandishi kuhusu bonasi ya ushindi wa timu yake naye akajibu bonasi yao imeshatoka ni kuchukua kadi yako ya benk na kwenda kujihudumia mbona hatukusikia wana Yanga kulalamika?

Kwenye maofisi kuna bonas, kwenye familia zipo bonas mbalimbali hasa watoto wafanyapo vizuri mashuleni n.k sasa ata ao wachezaji mpira ndio ofisi yao

Motisha/bonasi ni vitu vya kawaida katika michezo tatizo mbumbumbu fc wengi wana fikra za kiwango cha Mangungu wa Manzoki.
Hoja ya mtoa mada ni bahasha, naomba nikumbushwe yanga iliyofungwa goli, mpira ukajaa wavuni refa akaweka kuwa kona ilikuwa inadhaminiwa na nani vile?
 
Mleta mada Tufanye na ihefu nayo ilitoa au ilisaidiwa na “mfadhili” wao kutoa bahasha yanga akafungwa!
Na Kama utabishia Hilo basi tufanye yanga ilichukua ubingwa mfululizo wa ligi Mara 2 na fa mara 2 kwa kutoa bahasha na tff na karia wanajua hilo maana wewe unajua tayari na hawakuchukua hatua na yanga akafika fainali ya cafcc kwa Mara ya kwanza timu kutoka Tanzania alitumia bahasha na caf wanajua na hawajachukua hatua .
Embu jaribu kufikiri vizuri kuliko kuongea unayoongea
 
Bahasha zao ziko Mara tatu :
1.Watatoa bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani wacheze chini ya kiwango. Na magoli marahisi rahisi Mara ya kujifunza nk

2.Watatoa bahasha kupitia kisingizio Cha Motisha kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa timu pinzani. Hivi Sasa hivi TZ Prisons wamewekewa Tzs milioni 25 waikamie Simba.

Bahasha hizi hutotolewa kwa mechi za Simba za nje ya DSM kwenye viwanja cya mikoani.

3.Bahasha kwa Waamuzi/Marefa kuhakikisha wanakuwa upande wao. Ukisikia kelele za lawama kwa refa jua refa hakuwa upande wao.

Fuatilia msimu juu wote ikiwa km utasikia Kuna mechi ya Yanga Kuna kikundi, wapenzi au mashabiki wameweka HELA ili Yanga ifungwe.

Motisha iliyopo ktk ligi yetu Ni kuhakikisha wapinzani wanapewa ahadi ili Simba kufungwa. Hii ndiyo motisha ambayo TFF na Bodi yake ya Ligi wamebariki.

Hata km Yanga ingekuwa na ubora wa viwango vya Manchester City ili uweze kutwaa ubingwa wa ligi lazima kuhakikisha Simba inapoteza. Kwa sababu Hata km Simba au Yanga Ni mbovu kiasi gani Hawa ndiyo washindani halisi ktk mbio za ubingwa.

MBINU NYINGINE ZA GSM, HERSI NA YANGA YAO.

Kutengeneza gap/mwachano wa point na Simba kwa gharama yoyote. Ndiyo maana bahasha zinatumika kwa mechi za Simba mikoani.

Kuna Kamati za ufundi za akina Antony mbunge wa Dodoma Kutoa bahasha kwa mabenchi ya ufundi au makipa au mabeki kucheza chini ya kiwango.

Nb: Hakuna ubishi kwamba Yanga Ni bora kiasi fulani wameimarika lkn hawana ubingwa wa ligi bila kuhakikisha Simba inapoteza.

Matokeo yao yanachagizwa na Simba kupoteza au kudroo. Huu ndiyo motisha kwao.

Mtu mjinga anaweza kuhoji na Kimataifa he huko nako bahasha? Hapa nazungumzia njia yao yakuoata ubingwa wa ligi.

Lkn pia huko kimataifa tuliona akicheza nusu fainali na timu marehemu zinazoshuka daraja.
Tumeona juzi alicheza na timu ambazo zinacheza mechi zote DSM. Tuliiona El Mereikh isiyo na makao iliyo ukimbizini na ambayo key players walishaondoka. Mereikh iliyochoka.

Safarini kutoka Ubaruku kule Mbarali. View attachment 2772645
Kwa maelezo yako ni kwamba Yanga haitakiwi kushinda, ikishinda ni bahasha, ikifungwa ni kwamba bahasha imekataliwa.
 
Ni mamlaka tu zinafumbia macho lakini ukweli ndio huu. Yanga wananunua mechi sana. Wana bahati sijawa PCCB ningewanyoosha
 
Likija suala la Mpira hata Mshana Jr huwezi zania kama ni Mshana huyu huyu mwenye fact na wengine wengi.

Mpira ni ushetani Fulani hivi unatutia upofu Sana, kwa hiyo hata mtoa mada simshangai ni kwa mujibu wa KATIBA kila mtu anahaki ya kutoa maoni Ila asivunje sheria.

All in all Leo SIMBA pia apigwe .
Mbona huna hoja ZAIDI ya kulaumu mtoa hoja. Au umekosea jukwaa ukaja humu
 
Back
Top Bottom