Halafu mbona mpira wa miguu unadaiwa kuwa unatuunganisha na wakati mambo kama haya ni kama yanaendana sana na mpira wa miguu?Ukraine will be hosting the Euro 2012 football championship, which is going to attract lots of foreigners. You can't act like you're in a Soviet state anymore."
:embarassed2:
Mkuu ni posti yako ya tatu toka ujiunge mwaka jana, hata hivyo nakubalina na wewe moja kwa moja bila hata chembe ya wasi wasi.Hakuna mtu mwenye rangi nyeupe asiye mbaguzi kwa mtu mweusi wanatofautiana tu pale mwingine anapoonyesha dhahiri na mwingine inakaa rohoni na kujifanya mwema kwa kuwa kuna kitu cha kumnufaisha anatafuta kwa mweusi husika. Wazungu, wahindi hata warabu (ingawa wengine ni weusi kuliko hata sisi) wamekuwa na utamaduni wa kufikiri wana akili na ni wastaarabu kuliko waafrika weusi lakini mkiwa darasa moja ukawapita wanajifanya wanakupenda kumbe ni kwa sababu umewanyanyasa darasani. Unapoona mtu mweupe anakuheshimu ni uongo kuna kitu anaogopa asipofanya hivyo atakosa kwako. Ni vyema kuwapenda mmoja mmoja kwa jinsi anavyokuchukulia uhusiano wako naye lakini uwe mwangalifu, si ndugu yako wala rafiki yako wa kweli.
Msiwashangae hao, kwani hata wanaoikubali theory ya Darwin wanakubali kuwa sisi ni manyani (sokwe) tulio evolve. Siikubali hiyo theory ya Darwin.
Hivi watu weusi siyo wabaguzi?
wabaguzi ile mbaya acha na sisi tubaguliwe. tunabaguana kwa udini, ukabila jinsia, na hata maskini na matajiri. ila wakitubagua wazungu tunakuja juu kana kwamba sisi ni innocent. acha watubague na sisi tumezidi kutojiamini.
Msiwashangae hao, kwani hata wanaoikubali theory ya Darwin wanakubali kuwa sisi ni manyani (sokwe) tulio evolve. Siikubali hiyo theory ya Darwin.
That isn't true. Evolution theory postulates that all human being, regardless of the skin color, have evolved from great apes. As a matter of fact the theory emphases that Africa, probably the black man, is the origin of mankind.
Further, manyani (monkeys) and Sokwe (chimpanzees) are two different species. I wonder why you can't accept theory.
Sokwes and Nyanis are the nearest to us? whatever you may call them, apes, gorillas, monkeys, what ever species they may be, may be they are your ancestors but not mine, I am not from the apes. Darwin's theory is simply a theory, it is not a fact.
Why the postulation you put forward isn't materialized? What Darwin would have said if he had seen the horrors of the second world war?
Hakuna mtu mwenye rangi nyeupe asiye mbaguzi kwa mtu mweusi wanatofautiana tu pale mwingine anapoonyesha dhahiri na mwingine inakaa rohoni na kujifanya mwema kwa kuwa kuna kitu cha kumnufaisha anatafuta kwa mweusi husika. Wazungu, wahindi hata warabu (ingawa wengine ni weusi kuliko hata sisi) wamekuwa na utamaduni wa kufikiri wana akili na ni wastaarabu kuliko waafrika weusi lakini mkiwa darasa moja ukawapita wanajifanya wanakupenda kumbe ni kwa sababu umewanyanyasa darasani. Unapoona mtu mweupe anakuheshimu ni uongo kuna kitu anaogopa asipofanya hivyo atakosa kwako. Ni vyema kuwapenda mmoja mmoja kwa jinsi anavyokuchukulia uhusiano wako naye lakini uwe mwangalifu, si ndugu yako wala rafiki yako wa kweli.
![]()
A local newspaper in the western Ukrainian city of Ternopil illustrated its front-page story on Tuesday with a photomontage of monkeys groping a woman to depict African and Arab men who had allegedly gotten into a bar fight. Our Observer, a Congolese student living in Ternopil, tells us this has deeply upset African students at his university, who he says are frequently the target of racist attacks.
Nova Ternopil explains that police had to intervene after an African man and an Arab man got into a fight involving a woman at a local bar on the weekend. The headline reads, "Arabs and negroes fight over our prostitutes." The photomontage shows two monkeys groping a white woman in the foreground. In the background, a group of black men are sitting around a table, having a drink. According to our Observer, the men pictured are students at a local university and had nothing to do with the alleged incident.Nova Ternopil could not be reached for comment by press time. As in much of the former Soviet Union, racism remains a common problem in Ukraine, which is overwhelmingly white.
"Ukrainian students reading the newspaper laughed at the picture"
Beckhs Love is a Congolese student studying agricultural technology at Ivan Puluj Technical University in Ternopil. He's lived there for four years. I was in class yesterday when the university's foreign student advisor called and told me to come to his office as soon I could. When I got there, he asked me to close the door behind me. He showed me the newspaper. I couldn't believe what I saw on the front page. I was shocked. First of all, why would a story about a bar fight be on the front page? You would think that would be reserved for real news.
He asked me if I recognized the men in the background of the photo. I did – I knew all of them; they are my fellow students. He told me that this was awful, but that it was a provocation, and asked me to talk to these students and ask them to stay calm. Because I speak better Ukrainian than most African students – of which there are about 300 at our university – I often act as a coordinator between the administration and the francophone students.
When I told the students in the picture about the article, they rushed out to the buy the newspaper. It was easy to find. It turned out the newspaper used an old photo of them for their montage – it was taken long before this fight allegedly took place. We have no idea how the newspaper got their hands on it.
Ukrainian newspaper depicts Africans and Arabs as monkeys - CNN iReport