Ukrainian newspaper depicts Africans and Arabs as monkeys

Its normal for most folks from Eastern Europe ni washamba wa kufa mtu. Wengi hawana hope na future zao kwani wanakuwa vibarua tu wakija Western Europe kama wahamiaji wengine. Most of them live in misery that why they engage in racism
Thanks, jamaa ni washamba wa kufa mtu
 
[h=2]Ukrainian newspaper depicts Africans and Arabs as monkeys[/h]
By SolJustice | Posted January 26, 2012 | ternopil



A local newspaper in the western Ukrainian city of Ternopil illustrated its front-page story on Tuesday with a photomontage of monkeys groping a woman to depict African and Arab men who had allegedly gotten into a bar fight.The police had to intervene after an African man and an Arab man got into a fight involving a woman at a local bar on the weekend. The headline reads, “Arabs and negroes fight over our prostitutes.” The photomontage shows two monkeys groping a white woman in the foreground. In the background, a group of black men are sitting around a table, having a drink, the men pictured are students at a local university and had nothing to do with the alleged incident.I was in class yesterday when the university’s foreign student advisor called and told me to come to his office as soon I could. When I got there, he asked me to close the door behind me. He showed me the newspaper. I couldn’t believe what I saw on the front page. I was shocked. First of all, why would a story about a bar fight be on the front page? You would think that would be reserved for real news.He asked me if I recognized the men in the background of the photo. I did but not very much as i had only come across them a few times,He told me that this was awful, but that it was a provocation, and asked me to talk to these students and ask them to stay calm. Because I speak better Ukrainian than most African students, I often act as a coordinator between the administration and the anglophone students.Back at the university, we saw other students, Ukrainians, reading the newspaper. I saw some of them laughing at the picture. I told them, “You think this is funny? You think this is normal? In a few months, Ukraine will be hosting the Euro 2012 football championship, which is going to attract lots of foreigners. You can’t act like you’re in a Soviet state anymore.”

I really don’t know why they even give visas to African students, since it’s clear they don’t want us here. I want parents back in Africa to know they should stop sending their children here. At university, we’re excluded. In my class, we African students always sit together – few Ukrainian students will speak to us.Outside university, it’s even worse. I usually go straight home, because it’s dangerous to be out at night. Black people get insulted and assaulted all the time. We live in fear. Not long ago, I was coming back from the supermarket and a group of men just knocked me down and hit me over and over. They took off when I started to scream. There’s no point reporting it to the police – the first thing they always say when an African man walks through the door is, ‘We’re going to deport you.’

Racism is a reality of everyday life in Ukraine. I recently went to make some photocopies with a Ukrainian student. He asked the store owner for a stapler; he gave him use of it, free of charge. I went back by myself the next day; suddenly, I had to pay to use the stapler.

It’s hard for us to defend ourselves, because there’s a real language barrier for most of us. But I hope we will be able to get a meeting with the newspaper editor, so he can explain himself.”
-Culled from a student's online correspondence

 
What is racizm?I am white and work in Africa. White people here from developted countries always gather at parties with white at the same table and black always gather with black. We have black Swedish colleague, so he also with white. Colour does not matter, culture matters. If in Ukraine black foreigners have that culture of black people it does not mean that they are bad, they are just different. As every foreigner in any country if that foreigner is not a reach tourist he/she will be discriminated. Urainians who work in Western Europe are being disriminated too, even if they are of the same colour. So is it racism or "nationizm"?
aaaaajpg-1979081_p9.jpg


A local newspaper in the western Ukrainian city of Ternopil illustrated its front-page story on Tuesday with a photomontage of monkeys groping a woman to depict African and Arab men who had allegedly gotten into a bar fight. Our Observer, a Congolese student living in Ternopil, tells us this has deeply upset African students at his university, who he says are frequently the target of racist attacks.

Nova Ternopil explains that police had to intervene after an African man and an Arab man got into a fight involving a woman at a local bar on the weekend. The headline reads, "Arabs and negroes fight over our prostitutes." The photomontage shows two monkeys groping a white woman in the foreground. In the background, a group of black men are sitting around a table, having a drink. According to our Observer, the men pictured are students at a local university and had nothing to do with the alleged incident.Nova Ternopil could not be reached for comment by press time. As in much of the former Soviet Union, racism remains a common problem in Ukraine, which is overwhelmingly white.

"Ukrainian students reading the newspaper laughed at the picture"

Beckhs Love is a Congolese student studying agricultural technology at Ivan Puluj Technical University in Ternopil. He's lived there for four years. I was in class yesterday when the university's foreign student advisor called and told me to come to his office as soon I could. When I got there, he asked me to close the door behind me. He showed me the newspaper. I couldn't believe what I saw on the front page. I was shocked. First of all, why would a story about a bar fight be on the front page? You would think that would be reserved for real news.

He asked me if I recognized the men in the background of the photo. I did – I knew all of them; they are my fellow students. He told me that this was awful, but that it was a provocation, and asked me to talk to these students and ask them to stay calm. Because I speak better Ukrainian than most African students – of which there are about 300 at our university – I often act as a coordinator between the administration and the francophone students.

When I told the students in the picture about the article, they rushed out to the buy the newspaper. It was easy to find. It turned out the newspaper used an old photo of them for their montage – it was taken long before this fight allegedly took place. We have no idea how the newspaper got their hands on it.

Ukrainian newspaper depicts Africans and Arabs as monkeys - CNN iReport
 
This newspaper is yellow pages with stupid editor. If you can't speak local language, you will have some communication problems anywhere. It doesn't means all is ok, but students shouldn't fight in public places too.
 
[h=1]Waafrika Ukraine wakasirishwa na ubaguzi[/h]
Wakereketwa wa haki za binaadam nchini Ukraine wametoa wito kwa rais wa taifa hilo, Viktor Yanukovych, kutokomeza ubaguzi wa rangi baada ya gazeti moja katika mji wa Ternopil, kuchapisha mchoro ulioonyesha wanafunzi wa kiume wa asili ya Kiarabu na Kiafrika wakimpigania msichana mwenye asili ya Ukraine.
Katika mchoro huo wanafunzi hao wamechorwa kwa mfano wa nyani.
Gazeti hilo lijulikanalo kama Nowa Ternopil Hazeta, limesema kuwa hivyo ndivyo lilivyoamua kuonyesha jinsi mapigano kati ya wanafunzi wenye asili wa Kiafrika na Kiarabu katika klabu moja ya usiku mjini humo wakati wakinywa pombe.
Kwenye ukurasa wa kwanza kulikuwa na kichwa cha habari kisemacho "damu ya Waafrika na Waarabu ilimwagika wakipigania malaya wetu."
Mchoro huo pia ulionyesha nyani wawili wakimpapasa mwanamke mmoja mzungu, huku ukipachikwa kwenye picha nyingine tofauti ya wanafunzi Waafrika wakinywa pombe.
Gazeti hilo limejitetea likisema kuwa lilitaka kuonyesha tu kuwa mwanamume yeyote mlevi anaonekana kama nyani; maelezo ambayo hayajawaridhisha wanafunzi wa kigeni nchini humo.
Mohammed Sisey, mkuu wa Baraza la Waafrika nchini Ukraine, aliviambia vyombo vya habari nchini humo kuwa ni aibu kwa gazeti kutoka taifa kama hilo kuonyesha wazi ubaguzi wao wa rangi.
Alitoa wito kwa serikali kutoa maelezo rasmi ya kueleza kwa nini gazeti hilo lilifanya dharau hiyo.
Waendesha mashtaka katika mji wa Ternopil wamesema kuwa wanaendelea na kuchunguzi ili kuona kama wanaweza kufungua mashtaka ya uhalifu dhidi ya gazeti hilo.
 
Ahhh vitu kama hivi ni vya kupotezea tu kwasababu hata sisi tu tunabaguana na kukashifiana wenyewe kwa wenyewe, achilia mbali weupe vs weusi vs yellow na wekundu.

Ila inanikumbusha waIsrael wenye ubaguzi na chuki wanavyopenda kuita watu weusi Baboons. . .it's kinda sad!!
lizzy u r appreciated
anayekereka na ubaguzi wa kundi flani nadhani atakuwa anaishi maisha ya taabu sana duniani
nakumbuka hata darasani sekondari boarding tulikuwa tunabaguana kimaeneo, tuliporudi ARUSHA tunabaguana kikota,yaan mimi sikereki hata chembe na mtu kunibagua.

2008 obama alisema amewahi kubaguliwa na waafrika akiwa kenya
'niingia hotelini KENYA nikiwa na dada tukakaa kwenye viti for 10 minutes wahudumu wakituangalia , then likaja kundi la wazungu the moment they step in their feet wahudumu wakaamka na kuwakimbilia' OBAMA said this 2008
 
Tabia za watu weusi ndio zinafanya tufananishwe na nyati, nchi si yako umetoka kwenu kwenda kusoma unagombea malaya, ebu muangalie mario baloteri mambo ya kijinga anayofanya tutaacha kufanishwa na nyani kweli.
 
In this world of prejudice...... is better to give it no weight.......... unless touches you directly, legal measures can be considered.....
It is sad to know how they perceive us.... Many Eastern Europeans do not like African.... They were my (masters) classmates in a certain country of continental Europe..... they are real racists.... pompous..... but they came to recognize us in exams.... race never helped them..... some dropped out as things were extremely tough to them. I think those who have exposure are not as bad as those who have never been out of kiev, minsk, moscow, etc
 
lizzy u r appreciated
anayekereka na ubaguzi wa kundi flani nadhani atakuwa anaishi maisha ya taabu sana duniani
nakumbuka hata darasani sekondari boarding tulikuwa tunabaguana kimaeneo, tuliporudi ARUSHA tunabaguana kikota,yaan mimi sikereki hata chembe na mtu kunibagua.

2008 obama alisema amewahi kubaguliwa na waafrika akiwa kenya
'niingia hotelini KENYA nikiwa na dada tukakaa kwenye viti for 10 minutes wahudumu wakituangalia , then likaja kundi la wazungu the moment they step in their feet wahudumu wakaamka na kuwakimbilia' OBAMA said this 2008

Huo ubaguzi unaousema ni mdogo sana..... na ni rahisi sana kuuhimili....
Nakumbuka Mwl. Nyerere aliwahi sema.... '''Hakuna ubaguzi mbaya kama ubaguzi wa rangi..... ubaguzi wa aina nyingine hauna nguvu sana. mfano ubaguzi wa kidini ni rahisi kuuhimili kwa maana mtu anaweza kubadili dini.... au mwingine akaamua kuwa bila dini.... lakini ubaguzi wa rangi ni mbaya sana.... maana huwezi kubadili rangi.... au kutokuwa na rangi ili usubaguliwe'' mwisho wa kunukuu. na ubaguzi wa rangi unakugusa vilivyo ukiwa kwenye nchi ya watu.... acha usijeshuhudia....
 
Huo ubaguzi unaousema ni mdogo sana..... na ni rahisi sana kuuhimili....
Nakumbuka Mwl. Nyerere aliwahi sema.... '''Hakuna ubaguzi mbaya kama ubaguzi wa rangi..... ubaguzi wa aina nyingine hauna nguvu sana. mfano ubaguzi wa kidini ni rahisi kuuhimili kwa maana mtu anaweza kubadili dini.... au mwingine akaamua kuwa bila dini.... lakini ubaguzi wa rangi ni mbaya sana.... maana huwezi kubadili rangi.... au kutokuwa na rangi ili usubaguliwe'' mwisho wa kunukuu. na ubaguzi wa rangi unakugusa vilivyo ukiwa kwenye nchi ya watu.... acha usijeshuhudia....
In my opininion ubaguzi wa ndani kwa ndani (same group) ni mbaya na ujinga zaidi kwasababu mtu anambagua mtu ambae hana tofauti nae sana, pengine hana hata kidogo.Bora rangi ya ngozi mtu unaweza ukaona tofauti au hata kwanini mwenzio anaona yeye ni bora kuliko wewe.

Pili kama unakubali ubaguzi wa sisi kwa sisi kwa kuona ni mdogo na usio na maana huwezi kusaidia ule mkubwa usiwepo. I mean kama wenyewe kwa wenyewe mnaonana hovyo nani awaone wa maana? Usipojipa maana, hutopewa maana. That's the way it works.
 
Huo ubaguzi unaousema ni mdogo sana..... na ni rahisi sana kuuhimili....
Nakumbuka Mwl. Nyerere aliwahi sema.... '''Hakuna ubaguzi mbaya kama ubaguzi wa rangi..... ubaguzi wa aina nyingine hauna nguvu sana. mfano ubaguzi wa kidini ni rahisi kuuhimili kwa maana mtu anaweza kubadili dini.... au mwingine akaamua kuwa bila dini.... lakini ubaguzi wa rangi ni mbaya sana.... maana huwezi kubadili rangi.... au kutokuwa na rangi ili usubaguliwe'' mwisho wa kunukuu. na ubaguzi wa rangi unakugusa vilivyo ukiwa kwenye nchi ya watu.... acha usijeshuhudia....

Achana na nyerere ... Ubaguzi upo kila mahala .. hadi tzn tunabaguana wenyewe kwa wenyewe
 
In my opininion ubaguzi wa ndani kwa ndani (same group) ni mbaya na ujinga zaidi kwasababu mtu anambagua mtu ambae hana tofauti nae sana, pengine hana hata kidogo.Bora rangi ya ngozi mtu unaweza ukaona tofauti au hata kwanini mwenzio anaona yeye ni bora kuliko wewe.

Pili kama unakubali ubaguzi wa sisi kwa sisi kwa kuona ni mdogo na usio na maana huwezi kusaidia ule mkubwa usiwepo. I mean kama wenyewe kwa wenyewe mnaonana hovyo nani awaone wa maana? Usipojipa maana, hutopewa maana. That's the way it works.

Hamna ubaguzi wenye afadhali. Yeto ni mibaya tu! Maana hiyo sisi kwa sisi unaingalia kwa mazingira gani? Kama kiuchumi, kitaifa, ama kirangi! Maana hata nchi walizoendelea wanabaguana tu kutokana na madaraja yao!
 
Ahhh vitu kama hivi ni vya kupotezea tu kwasababu hata sisi tu tunabaguana na kukashifiana wenyewe kwa wenyewe, achilia mbali weupe vs weusi vs yellow na wekundu.

Ila inanikumbusha waIsrael wenye ubaguzi na chuki wanavyopenda kuita watu weusi Baboons. . .it's kinda sad!!
Mimi naona sasa na sisi umefika wakati wa kuwaita wazungu nguruwe a.k.a swine badala ya kulilia tu wao wakitoa miguno ya nyani na sisi wamatumbi tutoe milio ya swine,wakitupa ndizi sisi tutupe miwa,wazungu wanatuonea weusi kwa jinsi mungu alivyotupendelea kwa jinsi alivyotuumba,maumbo yetu,rangi.kuna wazungu wana madoa doa kama vinyonga.Ila mimi kinashonisikitisha ni udhaifu wa sisi wamatumbi wa kutojiamini na kujivunia uasili wetu,hebu ona akina dada na akina kaka wanaovaa mawigi ,sijui ya nini wakati tuna nywele nzuri ambazo unaweza kuzifanya upendavyo(wazungu wanazitamani),kujichubua n.k.Mwafrika pamoja na shida zote lakini anaishi mzungu hawezi,pia wanatoa harufu asipooga hata kwa siku moja,mwafrika hata akipitisha siku wala husikia harufu.Halafu kwenye uwanja wetu uleee mweusi si mchezo
 
There is correletion between ones own social class and engagement in racism. Most folks in lower class tend to be more racist than those in middle and upper class. Hii ni kwa sababu wenyeji waliokatika maisha ya chini huwa wanagombania kazi za aina moja na wageni. Kwa hiyo wanaona wahamiaji ni adui wa maslahi yao. Hizi ni tafiti ambazo ziko confermed na watalaam wengi wa mambo ya Uhamiaji. Na hii pia inaweza kuwa sababu kwa nini watu wengi wa Ulaya Mashariki ni wabaguzi kwa kuwa maisha yao yako chini, wengi pia hawana exposure ukicompare na watu wa Ulaya magharibi

russia na sehem nyingine za eastern europe ambazo nyingi zilikuwa na connection na ussr bado wapo mbali kimaendeleo na vitu vingine.
nchi kama poland kuna sehem nyingine hawataki kukaa bar moja na black people,kuna baadhi wanaomba holocaust ijirudie tena maana wanaona kama kuna watu wanatakiwa kufutwa kabisa kwenye hii dunia.
so umasikini wao na matatizo yao ndo yanapelekea hivi
 
Kuna mwalimu wangu mmoja alipokuwa "Ujeremani" aliitwa Nyani kwa kijereman na kwa kuwa naye alikuwa ashakijua kijeremani akamuita Nguruwe kwa kijeremani basi toka siku hiyo hakuitwa nyani tena, na kwa kuwakomesha akaamua kuoana na Mjeremani na wamebahatika kupata watoto.

Sipendi ubaguzi wa rangi. Yeyote anayefanya vitendo vya kibaguzi anajidhihirisha jinsi ustaarabu wake ulivyona mushkeri/tatizo.
 
kama hujawahi kubaguliwa ubaguzi wa rang ya ngozi huwezi ku feel pain yake. huwezi kuufananisha na ubaguzi kwa kikanda au nchi .
 
Back
Top Bottom