FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
It isn't Dwarin theory that says they are nearest to us. It's a scientific fact proven by DNA. The fact that you don't want to accept it doesn't mean you are right.
Where is yor proof?
It isn't Dwarin theory that says they are nearest to us. It's a scientific fact proven by DNA. The fact that you don't want to accept it doesn't mean you are right.
Ila ukweli usemwe bana, wana wanawake wazuri sana tu. Hamna sababu ya kuwachukia kwa hilo.
Where is yor proof?
washamba sana Ukraine wengi wao wamezamia sana scandinavia na hawataki kurudi kwao
la pili wanajidai kuwa ni nchi yenye warembo wazuri duniani ndio maana mtu bara lingine nje ya ulaya
anaonekana hana hadhi ya kuongea na hao mabinti hata awe malaya kama katuni hiyo inavosema.
Na kwa kuongezea tu ni kwamba malaya wengi waliojaa Ulaya Magharibi ni wa kutoka huko huko wakija kama wanafunzi. Halafu hawatembei sana Ulaya kutokana na restrictions kwenye visa kutokana na economical situation.
Wana bahati mwaka huu wanasimamia fainali za Euro 2012 sijui itakuwaje kwa wachzaji weusi.
Ni watu wa kuwapuuza tu.
Fascinating !!!!, Isn't? The language you and others use to describe Ukrainians is almost offensive as the language used in the above news paper.
Alafu watu hao hao wanalalamika wao wakisemwa vibaya na wazungu. . .how LAME.Fascinating !!!!, Isn't? The language you and others use to describe Ukrainians is almost offensive as the language used in the above news paper.
Ila ukweli usemwe bana, wana wanawake wazuri sana tu. Hamna sababu ya kuwachukia kwa hilo.
Lizzy hawaoni ndani kwa Czech Republic, kwa maoni yangu.
I've been living in Europe both East and West for considerable lenght of time, so I know what I am saying.
Alafu watu hao hao wanalalamika wao wakisemwa vibaya na wazungu. . .how LAME.
Living in Europe for a considerable length of time doesn't give you authority on the issue. You might as well be biased.
BAK mi wivu sina wala roho haiumi...kwahiyo nisaidie picha nijionee.
BAK mi wivu sina wala roho haiumi...kwahiyo nisaidie picha nijionee.
I don't want to go far on your silly comment, can you explain how it doesn't give me the authority on the issue?
This issue is very subjective. Tanzanians who have lived in Czech, they will you that the Czech are the best. Those in Poland they will tell you the Poles are the best etc etc. The truth is majority in Eastern Europe came from the same genetic pool, the Slavs.
You give us a subjective analysis based on your own experience.
Ubaguzi wa rangi kwenye dunia hii hauwezi kuisha. Inauma sana ukikutana na vitendo vya kibaguzi tena ukiwa mhusika.. Ila life has to go on.. Yes mimi ni nyani, kuna shida?!!