Ukosefu wa maji Dar es Salaam, Tatizo nini?

Ukosefu wa maji Dar es Salaam, Tatizo nini?

Hivi mfumo wa maji Dar ulishawahi kufanyiwa matengenezo makubwa ( overhaul)?

Maana tangu tunaishi Dar ya watu milioni moja, mpaka leo Dar ya watu milioni saba, kama mfumo haujafanyiwa overhaul basi matatizo hayawezi kuisha.
 
Hii tabu ya maji tulikuwa tumesahau ngoja nifanye mchakato wa kununua jaba
Maji huwa ayatabiriki, Ni muhimu tuwe tu na vyombo vya kuhifadhia maji kwa wingi, tatizo kujisahau pia
 
Hivi mfumo wa maji Dar ulishawahi kufanyiwa matengenezo makubwa ( overhaul)?

Maana tangu tunaishi Dar ya watu milioni moja, mpaka leo Dar ya watu milioni saba, kama mfumo haujafanyiwa overhaul basi matatizo hayawezi kuisha.
Na ilo linachangia pia,Kuna haja wafanye overhaul ya mfumo mzima wa maji kwa awamu
 
Sisi wa mkoa tukomenti wap ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom