Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Naona bado mnataman damu za watu...Mama hataki maisha hayo mkuuLissu vipi?
Ilaa na nyie aisee kabisa mnatamani Lissu awe raisi?
Naona bado mnataman damu za watu...Mama hataki maisha hayo mkuuLissu vipi?
Ilaa na nyie aisee kabisa mnatamani Lissu awe raisi?
Aisee hawa DAWASCO wanatesa watu, siku ya pili leo maeneo Jimbo la Kawe hakuna maji kabisa, Tatizo nini haswa?
Sasa hivi yanatoka 21:18 umecheki?basi ulibahatika mwenzetu!
nimesikia yameanza kutoka mkuu, afadhali kwakweli
Siku ya pili unalalamika wenzenu Nzuguni Dodoma tuna mwezi waziri akiulizwa anasema tupo kwenye mchakato basi tumekata tamaa.Aisee hawa DAWASCO wanatesa watu, siku ya pili leo maeneo Jimbo la Kawe hakuna maji kabisa, Tatizo nini haswa?
Kwa uko dodoma hata msipopewa kabisa huduma ya maji ni sawa tu kwakweli!!!😎Siku ya pili unalalamika wenzenu Nzuguni Dodoma tuna mwezi waziri akiulizwa anasema tupo kwenye mchakato basi tumekata tamaa.
Ilil ni tusi au? Kama ni tusi ebu fanya kulielekeza wka awesoGY354c8e55rxfdcv