UKOO: Hakuna Mgumu wa Kutoa Sauti, Hata Mmoja

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,202
Reaction score
25,377
Nina uchungu.

Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo.

Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa.

Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri.

Nchi haina baba na waliopo ndiyo haya anaotokea. Bahati mbaya watanzania tunaamshwa ila bado tunaota majahazi yanamwaga samaki baharini.

Nani kamloga mwenzake?.
 
Mtu aliepaswa kusema,kutoa kauli yenye kukemea huu uozo ni Jakaya Kikwete.......
Lakini kwa bahati mbaya ni kwamba yeye ndie kinara wa haya yoote!
Yeye ndie mshauri wa Samia!
JK ndie mzee mwandamizi kwenye vikao vya CCM.
JK ndie anaongoza kwa remote maamuzi mengi kati ya haya tunayoyalalamikia kwa sasa!
 
Kila mtu hii nchi na lwake. CHADEMA wako usingizini tungepiga timu kanisani kuomba mapambio kesho Gwajima asingeitika kwenye shughuli yetu?

Lissu angekuwapo si ajabu tungekuwapo pale kama chama.

CHADEMA hii ikianza kufuata siasa za machale za mwamba, safari itakuwa bado ndefu zaidi.

imhotep na wenzao, kimya!

Shughuli ya haki ni shughuli ya haki ndiyo maana kina Maraga wakenya walikuja!
 
Mtu aliepaswa kusema,kutoa kauli yenye kukemea huu uozo ni Jakaya Kikwete.......
Lakini kwa bahati mbaya ni kwamba yeye ndie kinara wa haya yoote!
Yeye ndie mshauri wa Samia!
JK ndie mzee mwandamizi kwenye vikao vya CCM.
JK ndie anaongoza kwa remote maamuzi mengi kati ya haya tunayoyalalamikia kwa sasa!
Hatuna mzee wa kukemea nchini, nasema hatuna mzee kwa sasa, nchi imebaki ukiwa!.
 
Back
Top Bottom