Ukonga: Wananchi waonesha kukosa imani na Waitara

Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala
Mkuu nipo jimbo la ukonga. Waitara atashinda tena kihalali na kwa kura nyingi. Vijana asilimia kubwa hasa waupinzani wamegoma kupiga kura. Hawana imani kabisa!
 
Mkuu nipo jimbo la ukonga. Waitara atashinda tena kihalali na kwa kura nyingi. Vijana asilimia kubwa hasa waupinzani wamegoma kupiga kura. Hawana imani kabisa!
Mkuu hao vijana watapiga kura hasa baada ya wahisani Wa nje kuonyesha kutoridhishwa na chaguzi zetu.
Watu wanataka USA wawa prove ccm kuwa ni wezi na waporaji kama M7 Kule Uganda.
Chadema sio wajinga kushiriki uchaguzi huku wakijua Wakurugenzi ni walewale waliopewa tahadhari kuwa wakitangaza asiye ccm watakiona, mnadhani wataendelea mpaka lini?
 
Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala

Waitara anarudishwa Bungeni kwa namna yoyote ile, nguvu ya umma tu ndio itakayosababisha mshindi halali kupatikana
 
Mkuu hayo maajabu hata mimi nashindwa kuwaelewa kabisa wanaowapigia kampeni watu kama hao yani ni kujidhalilisha kwa hali ya juu.
 
ILA matokeo yakitoka chorus Ni ileile ya chaguzi zote!
 
Habari toka field zinasema makao makuu ccm wamewapiga marufuku wapiga kampeni kutaja jina LA Lissu kwani wamegundua ukitaja wananchi wanaingiwa na hasira. Hata kibajaji mropokaji alipewa onyo hilo kwa msisitizo
 
SIASA ZETU BADO ZINA SAFARI NDEFU SANA HAKI YA MUNGU..........................................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…