Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,498
- 19,575
...
.....mambo ni moto
.....mambo ni moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nipo jimbo la ukonga. Waitara atashinda tena kihalali na kwa kura nyingi. Vijana asilimia kubwa hasa waupinzani wamegoma kupiga kura. Hawana imani kabisa!Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala
Mkuu hao vijana watapiga kura hasa baada ya wahisani Wa nje kuonyesha kutoridhishwa na chaguzi zetu.Mkuu nipo jimbo la ukonga. Waitara atashinda tena kihalali na kwa kura nyingi. Vijana asilimia kubwa hasa waupinzani wamegoma kupiga kura. Hawana imani kabisa!
Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala
Wakwetu uyuGo Go Asia Msangi
Ile kanda iliyopigwa marufuku kutoa raisWakwetu uyu
Ni mbora wetuWakwetu uyu
sijui kwann tunachukiwa jamanIle kanda iliyopigwa marufuku kutoa rais
Kuna tofauti ya kushinda na kutangazwa. Acha atangazwe kwa sababu bunduki na mabomu wanayo wao, lakini Chadema nao washinde uchaguzi na wananchi wajue kuwa wameshinda Ila hawana bunduki na mabomu ya kushindia.Kwa ufupi waitara keshashinda, kalagabaho
Mkuu hayo maajabu hata mimi nashindwa kuwaelewa kabisa wanaowapigia kampeni watu kama hao yani ni kujidhalilisha kwa hali ya juu.Suala zima la mtu kujiuzulu nafasi yake (ubunge/udiwani) na kujiunga na chama kingine eti akimuunga mkono fulani ni maajabu ya dunia. Halafu eti unaandaliwa uchaguzi mwingine kwa gharama kubwa, halafu mtu yule yule aliyejiuzulu anarudi kwa watu wale wale kuwaomba kura kwa ajili ya nafasi ile ile! Halafu eti kuna watu wanampa kura! Watanzania sijui nani katuroga? Hizi ni tabia za kimaskini. Haya 'maajabu' huwezi kuyaona kwenye nchi za watu wanaojitambua.
Waitara hauziki. Nape ni mkongwe kwenye siasa na kesha soma mchezonimeona. nape. kazira. kumnadi. waitara....