Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,507
- 283,945
Amekimbizwa mithili ya kibaka aliyekwapua simu , amekabiliwa na tuhuma za usaliti , hii ni baada ya kwenda kuomba kura kijiwe cha bodaboda .
Usaliti haukubaliki mahali popote , na bado !Wafanya Fujo wote wa Ukonga watadhibitiwa Kama Kinondoni
Usaliti haukubaliki mahali popote , na bado !
Mpaka sasa haijafahamika kama ametumbukia mtaroni au kafika kwake salama
watu walihangaika kwa ajili yako ukapata ubunge , ukauacha mwenyewe halafu leo tena unakuja kuwaomba walewale !Unashabikia Vurugu, kibao kikigeuka wakishughulikiwa ipasavyo zinakuja thread Za kusema wanaonewa
Cha ajabu ni kuwa atapata ushindi wa kishindoMytake - Usaliti ni laana .
ngoja tuone mjomba , kila siku siyo jumapili .Cha ajabu ni kuwa atapata ushindi wa kishindo
Naunga mkono hoja!!Wito kwa Wanaukonga moto huu hadi uendelezwe hadi kutangazwa kwa matokeo na muunga juhudi awe ameshindwa vibaya