Ukonga Kumekucha: Waendesha bodaboda wamtimua Waitara

Kama haki awamu hii ikisimama imara na kutenda haki kwa mujibu wa sheria na za nchi na pia kuonyesha jamii kuwa viongozi na watawala wetu wanahofu ya Mungu kulingana na imani zetu za dini za asili na hata za kikristo na kiislam. Naamini tutapata viongozi wema na wa kweli.

Kiongozi anayepatikana kwa hila ya wazi mpaka yeye mwenyewe akajua amepatikana kwa hila na kwa uchafu wa wizi na kumwaga damu za watu hawezi kuwa mtetezi wa wananchi zaidi ya mteteze wa serikali iliyojaa watu walioshiba kodi za wanyonge.

Wapenda haki wote wangejitokeza kufuatilia yale yatakayojiri Ukonga na Monduli siku ya uchaguzi. Kuanzia Mabalozi ,viongozi wa dini na watetezi wa haki za binadamu ili tujue kuwa nani muongo kati ya wale wanaolalamika kufanyiwa dhulma na wale wanaotetea vitendo vya vinavyosadikiwa na kuitwa ni vya hujuma na dhulma.

Waitara nimefuatilia Kauli zake na kampeni zake na wapambe wake nikagundua kuwa ni mtu anayetegemea kubebwa jambo ambalo halina tija kwa Taifa.
Anadanganya watu kuwa Bila CCM hakuna maendeleo na kusahau kuwa Makada wa CCM ndio wanaokimbilia misamaha ya kodi na kukiuka haki ya kuwapelekea watanzania wote maendeleo kwani wote wanastahili mana wanalipa kodi.
Kodi ni kwa maendeleo ya wote sio kwa sababu ya CCM pekee . Tena CCM wakae kimya mana wao ndio wanaozitumbua kodi za nchi hii kwa kuwa wamejaa kwenye vyeo vikubwa vyenye matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi. Wawapelekee wananchi wote maji,afya,elimu, umeme na barabara bila kujali vyama vingenevyo maeneo yasiyo na CCM wasipeleke wakurugenzi na maDC kwani wanapelekwa kufanya kwa ajili ya kusimamia maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yule wa Kinondoni ile hedhi ya Marathon ilikoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukonga liwe jimbo la mfano. Ikiwezekana watu wote wanaopenda demokrasia ya kweli na wenye uzalendo kwa Taifa letu, twende Ukonga siku ya uchaguzi kwaajili ya kulinda demokrasia. Tukiendelea kuogopa, hii biashara ya kijinga ya kununua viongozi itaendelea. Ni lazima ikomeshwe.

Kama Waitara hataki kutumikia wananchi, akafanye kazi zake binafsi lakini asiwachezee akili wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom